Ila jamani tuwe wakweli kavu ina raha yake aisee...Wengine wanabanjuana na condom mara mbili za kwanza, mara ya tatu utasikia ninakuamini bwana
Unamuamuni umempima?
Uzinzi siufagilii
Ni nadra sana kuvaa soksi zaidi ya mara tano kucheza mpira kwenye kiwanja kile kile....! Sana sana mara tatu nne ya tano...siyo kwamba unasahau bali haujui kinachotokea kwamba kwa nini hukuvaa soksi. Rejea ya hili ni wakati bado unachezea timu ya under"...."Utafiti mzuri mkuu,ila sisi wanaume pia tuko hivyo
Uwe unaquote comment ya mtu bhanaaa unajibu hewani hewani maana yake niniHapana ninapomuuliza ndio utafiti wng na akinijibu niamue mm mwenyew mimi natumia kinga kumuuliza swali ni njia ya utafiti tu
Wanaamini katika mla mla leo mla kesho kala nini? Na Ajali haina kinga.Habari ndg zangu, nimeona bora tujuzane humu
pengine tutapata ufumbuzi wa hili jambo
Nimejaribu kuchunguza tangu nianze mambo ya mapenzi sijawahi kumsikia mwanamke ananisisitiza kuhusu kutumia kinga wakati wa mambo fulani kila mwanamke akiingia ndani mkafanya michezo yenu lakini linapofika suala la tendo mwanamke anakuwa kimyaaa hata ukamuuliza vipi tutumie au anakuambia sijui wewe mwenyewe.
Na nimejaribu kuwauliza wanaume wenzangu kuhusu hili nao majibu yao ni hivihivi kwamba wanawake wao huwa hawasisitizi uvaaji wa kinga
Mara tu ukijaribu kumuambia mbona hunisisitizi kuhusu kuvaa kinga? Wengi wao hujibu mimi naogopa mimba si UKIMWI kwani ni bora ungesema niogope malaria vipi watu wangu wa Jf mnalionaje hili?
We unadhani huo aliokuwa nao ni ujasiri? Kweli akili ni nywele.Wanaume wa Dar kweli mmefikia hatua hii!!?wanawake wanawashinda ujasiri!!?
Umejuaje wanasemaga hivyo😀Wengine wanabanjuana na condom mara mbili za kwanza, mara ya tatu utasikia ninakuamini bwana
Unamuamuni umempima?
Uzinzi siufagilii