Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

Kondomu zenyewe mia tatu ya nini kumuambukiza binti wa watu fangasi?
 
Hawaogopi kubanjuana bila condom kama unvyosema, ila pia hawaogopi kwenda kupima na kujua hali yao..

Wanaume tunajifanya tunajali, ila inapokuja suala la kwenda kupima na kujua hali zetu, tunakuwa waoga wakati mwingine tunakimbia kabisa.
 
Ukiona mwanamke anasisitiza condom ujue huyo bar maid
 
wanawake sio ukimwi tu.. risk nyingi sana hawaziogopi... na wanapenda kusafiri na boda boda hatari.. na helmet hawataki eti zinaharibu nywele zao...

kuna siku nipo na mdada sehemu na usafiri ni shida boda boda moja tu ipo so inabidi tupande mshkaki.. mimi nikagoma mshkaki.. mwanamke anakomaa twende tu... nikaweka msharti tusitembee bara bara kuu.. tutembee service road tu hadi tufike sehem yenye boda nyingi nikod ingine... mdada anakomaa niache uoga na hapo helmet hana kabisa na hata hataki kusikia na anatamani dereva atembee spidi barabara kuu highway
 
Wanaume wa Dar kweli mmefikia hatua hii!!?wanawake wanawashinda ujasiri!!?
 
Hao tayari wanao wanatafuta wa kuwagawia, sasa kwa kuwa umeshawishika na paja,wowowo, saaa sita, make up, wigi, marashi, usafi wa nguo, alivyoipamba pupuchi kwa kuisafisha na kuinyoa, ingia kavu kavu sasa uone
 
yaaani" mwanamke " Akambie utumie condoms ...loooohh hilo sahau kabisa' kwanza wengi wao hawazipendi" labda awe changu" na hata huyo changu" huwa anatumia' " kwaajili ya kuepuka Mimba
 
Wanaume wa Dar kweli mmefikia hatua hii!!?wanawake wanawashinda ujasiri!!?

ujasiri ni kupanda boda boda mshkaki.. ujasiri ni kusafiri bila helmet. unafikiri waliogundua na kuziweka hizo helmet ni wajinga...?

case za boda boda ziko nyingi sana sababu ya uzembe wa kutojali risk

ujasiri ni kufanya ngono bila kinga?
 
Sasa waogope ukimwi iliiweje! Kwani ucpo kua na ukimwi hufi?
 
Last edited:
Wanaume wa Dar kweli mmefikia hatua hii!!?wanawake wanawashinda ujasiri!!?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wanaume wa huku ujasiri zero walah hapa wanasingizia wanawake wakati wao ndo hawapendi kondom
 
Habari ndg zangu, nimeona bora tujuzane humu pengine tutapata ufumbuzi wa hili jambo.

Nimejaribu kuchunguza tangu nianze mambo ya mapenzi sijawahi kumsikia mwanamke ananisisitiza kuhusu kutumia kinga wakati wa mambo fulani kila mwanamke akiingia ndani mkafanya michezo yenu lakini linapofika suala la tendo mwanamke anakuwa kimyaaa hata ukamuuliza vipi tutumie au anakuambia sijui wewe mwenyewe.

Na nimejaribu kuwauliza wanaume wenzangu kuhusu hili nao majibu yao ni hivihivi kwamba wanawake wao huwa hawasisitizi uvaaji wa kinga

Mara tu ukijaribu kumuambia mbona hunisisitizi kuhusu kuvaa kinga? Wengi wao hujibu mimi naogopa mimba si UKIMWI kwani ni bora ungesema niogope malaria vipi watu wangu wa Jf mnalionaje hili?
Dah hii inatka wataalam kweli asa
 
Uko sahihi 100% sijawahi ona mwanamke akauliza kinga labda changudoa.

Wanawame wengi wakishakubali kuvua chupi huacha maamuzi yote kwa mwanaume uvae au sivae wao hawajali hilo, naweza kusema nao wanapenda kavu, mana hata kwetu wanaume kavu kavu ni tamuu!,Kifupi umeongea jambo la msingi saana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom