Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

Mbona wanawake hawakoment kwenye uzi huu umefika page ya 13 sasa?
 
Wanawake sio waoga kama wanaume mkuu.

Usiwaendekeza kabisa, wanawake mambo yao ni yakibabe na yanayonifanya niwe na tahadhari nao pindi ninapomingo nao.Si UKIMWI tu, wanawake hawaogopi mambo mengi na mazito ukilinganisha na sisi wanaume.

Hii ndio sababu wao hawapendi wanaume waoga

Umeongea ukweli bru
 
Kama wanaume wanaogopa ukimwi, kwa nini muwaulize kama watataka mtumie kondomu? Mmeishatumia kondomu wakakukatalieni? Nadhani wanaume ndio ambao hawaogopi UKIMWI!
 
Mwanaume Unatakiwa uwe na maamuzi yako ukifata maamuzi ya Wanawake Utapata taabu sanaa
 
Habari ndg zangu, nimeona bora tujuzane humu pengine tutapata ufumbuzi wa hili jambo.

Nimejaribu kuchunguza tangu nianze mambo ya mapenzi sijawahi kumsikia mwanamke ananisisitiza kuhusu kutumia kinga wakati wa mambo fulani kila mwanamke akiingia ndani mkafanya michezo yenu lakini linapofika suala la tendo mwanamke anakuwa kimyaaa hata ukamuuliza vipi tutumie au anakuambia sijui wewe mwenyewe.

Na nimejaribu kuwauliza wanaume wenzangu kuhusu hili nao majibu yao ni hivihivi kwamba wanawake wao huwa hawasisitizi uvaaji wa kinga

Mara tu ukijaribu kumuambia mbona hunisisitizi kuhusu kuvaa kinga? Wengi wao hujibu mimi naogopa mimba si UKIMWI kwani ni bora ungesema niogope malaria vipi watu wangu wa Jf mnalionaje hili?
Ni Kweli
 
Watu wana roho ngumu kwa kweli, utachapaje demu cha wote au usiyemzoea bila kinga? Mfano mtu uje kulala na Wema, Kajala, Nandy, Zamaradi, Vanesa Mdee, Amber Lulu, Gigy Money, Aunt Ezekiel, Mimi Mars, bila kujikinga hivi unajipenda kweli?
 
Unaweza ukachapa na maukimwi yake na ukasepa ukiwa 'safe'
Haujiulizi kwanini watu wanapenda kuchuna ngozi kwa kutumia kisu butu bila ya kuvaa gloves?
Mkuu, ngozi kavu ni kila kitu, asikwambie mtu na ndiyo maana ngozi halisi ina bei yake na ngozi feki ina bei yake.
Dawa ni kuacha uteja wa biashara hiyo.
Lakini hili la kuvaa 'ndom' tunadanganyana tu mitandaoni humu.
Tena wewe unayetetea uvaaji wake, unaweza kuta ni mzee mapekupeku.
Maana waTz tumezoea kulaani mambo tunayoyatenda wenyewe.
Utakuta mzinzi analaani wazinzi, mwizi unakuta anapiga hadi kuua mwizi!
 
Mwenye maamuzi nani atumie kondom au asitumie ni mwanaume. Mwanamke mzuka ukishampanda wala hana habari ya hizo kondom zako. Anakuja kukumbuka hamu zimeisha anashtuka na kujilaum
 
Wanaume tumepewa majukumu makubwa Sana na Mungu mojawapo ikiwa hilo la kumlinda mwanamke . Maamuzi mengi yanategemea mwanaume iwe home au job au popote pale... So let's be responsible guys . It's up to us . Ndio maana hata shetani alipitia kwa mwanamke pale KatiKa bustani ya edeni
Wanaume tumeanza kusahau majukumu yetu,sikuhizi na sisi tumekuwa walalamishi kama wake zetu
 
Unaweza ukachapa na maukimwi yake na ukasepa ukiwa 'safe'
Haujiulizi kwanini watu wanapenda kuchuna ngozi kwa kutumia kisu butu bila ya kuvaa gloves?
Mkuu, ngozi kavu ni kila kitu, asikwambie mtu na ndiyo maana ngozi halisi ina bei yake na ngozi feki ina bei yake.
Dawa ni kuacha uteja wa biashara hiyo.
Lakini hili la kuvaa 'ndom' tunadanganyana tu mitandaoni humu.
Tena wewe unayetetea uvaaji wake, unaweza kuta ni mzee mapekupeku.
Maana waTz tumezoea kulaani mambo tunayoyatenda wenyewe.
Utakuta mzinzi analaani wazinzi, mwizi unakuta anapiga hadi kuua mwizi!
comment yako INA mashiko wengi hawapendi kondomu wanaume ila wakija huku JF wanalaumu wanawake eti hawapendi, wakati kiukweli kondomu hutoa ladha yote ya tendon si kwa mwanamke au mwanaume
 
Habari ndg zangu, nimeona bora tujuzane humu pengine tutapata ufumbuzi wa hili jambo.

Nimejaribu kuchunguza tangu nianze mambo ya mapenzi sijawahi kumsikia mwanamke ananisisitiza kuhusu kutumia kinga wakati wa mambo fulani kila mwanamke akiingia ndani mkafanya michezo yenu lakini linapofika suala la tendo mwanamke anakuwa kimyaaa hata ukamuuliza vipi tutumie au anakuambia sijui wewe mwenyewe.

Na nimejaribu kuwauliza wanaume wenzangu kuhusu hili nao majibu yao ni hivihivi kwamba wanawake wao huwa hawasisitizi uvaaji wa kinga

Mara tu ukijaribu kumuambia mbona hunisisitizi kuhusu kuvaa kinga? Wengi wao hujibu mimi naogopa mimba si UKIMWI kwani ni bora ungesema niogope malaria vipi watu wangu wa Jf mnalionaje hili?
Hata kupima Ukimwi wanawake sio waoga kabisa km wanaume
 
naunga nkono hoja,hawa watu huwa hawahoji kabisa kinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom