Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

Habari ndg zangu, nimeona bora tujuzane humu pengine tutapata ufumbuzi wa hili jambo.

Nimejaribu kuchunguza tangu nianze mambo ya mapenzi sijawahi kumsikia mwanamke ananisisitiza kuhusu kutumia kinga wakati wa mambo fulani kila mwanamke akiingia ndani mkafanya michezo yenu lakini linapofika suala la tendo mwanamke anakuwa kimyaaa hata ukamuuliza vipi tutumie au anakuambia sijui wewe mwenyewe.

Na nimejaribu kuwauliza wanaume wenzangu kuhusu hili nao majibu yao ni hivihivi kwamba wanawake wao huwa hawasisitizi uvaaji wa kinga

Mara tu ukijaribu kumuambia mbona hunisisitizi kuhusu kuvaa kinga? Wengi wao hujibu mimi naogopa mimba si UKIMWI kwani ni bora ungesema niogope malaria vipi watu wangu wa Jf mnalionaje hili?
ni kweli kabisa aiseee me mwenyewe nimeliona ilo
 
Wajibu wa kujilinda ni wenu wote wawili, umeongea kama vile mnapokuwa faragha mwenye wajibu wa kuamua ni yeye.

Kwa hiyo kama yeye haoni umuhimu na wewe unamfuatisha, ili baadae uje kutuambia kuwa yeye hakusisitiza?
 
Ndio maana wao ndio wengi wenye virusi kuliko wanaume
 
Hapana ninapomuuliza ndio utafiti wng na akinijibu niamue mm mwenyew mimi natumia kinga kumuuliza swali ni njia ya utafiti tu
 
Mwanamke akikubali kufanya mapenzi na ana akili timamu ni lazima aulize kinga na aikague .
 
Ni mmoja kwa mia mbili wengi wao hata kinga yenyew hawajawahi kuiona
 
Niliuza mechi asee usiku nilipiga na mpira kulala kuamka ngoma tisa namshika ananiambia Amechubuka sana ivo kama nataka either Nisitumie mpira ama Nimuache apumzike dah nkaona isiwe case nikachapa Bare, Kumekucha tena morning glory bare Nimetoka apa siku nzima sina raha afu nilikuwa safarini, Mawazo kibao nshauza mechi
96% ya Ngozi nilizopiga mimi ndio muamuzi wa Kondomu ama unakuta anakomaa kondomu fresh unavaa kwa kujiamini ukimaliza cha kwanza basi vinavoendelea ata upige kavu hakuambii lolote yani inakuwa kama anakujaribu mwanzo uvae kukupima uaminifu tu
 
Last edited:
Nadhani hawaamini sana kama kweli ukimwi upo.
 
Kuna siku moja ameniambia, ufanye lakini uwe mwangalifu kumwa***ga nje maana niko kwenye siku za denja. Ilikuwa ni siku ya kwanza mpaka niliogopa isee. Nikamwambia usijali nimekuja na zana. Sijawahi kurudi tena kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom