Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

Wanawake wengi sana hawaogopi UKIMWI

Kuna mwingine hata kabla hujamgusa, anasisitiza balaa.... anakuwa mkali..... ila ukigusa maeneo tu... huwa wanasahau na kujikuta wanachanua tu...... na wale wanaopenda kusafishwa mtaro ndo huwa hata hawafikirii.

Hahahaha - Mkuu huwa unawasafisha mitaro nini??
 
HUU UZI WA UKIMWI HUU NGOJA NIKAE SITI YA NYUMA NITIRIRIKE NA KOMENTI ZA WANA!!!

"Katibu Mwenezi wa Wasoma Comments."
 
Habari ndg zangu, nimeona bora tujuzane humu pengine tutapata ufumbuzi wa hili jambo.

Nimejaribu kuchunguza tangu nianze mambo ya mapenzi sijawahi kumsikia mwanamke ananisisitiza kuhusu kutumia kinga wakati wa mambo fulani kila mwanamke akiingia ndani mkafanya michezo yenu lakini linapofika suala la tendo mwanamke anakuwa kimyaaa hata ukamuuliza vipi tutumie au anakuambia sijui wewe mwenyewe.

Na nimejaribu kuwauliza wanaume wenzangu kuhusu hili nao majibu yao ni hivihivi kwamba wanawake wao huwa hawasisitizi uvaaji wa kinga

Mara tu ukijaribu kumuambia mbona hunisisitizi kuhusu kuvaa kinga? Wengi wao hujibu mimi naogopa mimba si UKIMWI kwani ni bora ungesema niogope malaria vipi watu wangu wa Jf mnalionaje hili?
Ukimwi kama Malaria tu unakunywa dawa unasogeza maisha
Want wake skuhizi wanaogopa Kisukari na Kansa
Hivyo vitu hasa Kansa havijapataga dawa Ukiumwa Kansa ni bye bye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom