amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,103
- 30,992
Mhhhh kwa jinsi mshono unavyouma (ninavyowasikia wakilalamika) lakini pia naimagine mtu kuwa na kidonda mshono wa maisha, mimi nilikuwa naingizwa kwenye chumba cha upasuaji aiseee niliomba niliomba sana Mungu aniepushe na kisu niliomba sana jamani sidhani kama mpaka leo kuna siku nliyoomba kama siku ile, ikatokea bahati pia kuna mchungaji kaja kumuombea mtumishi wake kwa vile labour nzima niliyekuwa naomba kwa sauti ni mie wakajua huyo mchungaji amenifata mie basi wakamuingiza chumbani kwangu kwa dakika 2 aiseee niliomba siku ile sikulia kama wengine mimi niliomba tu niepushwe na kisu, na kweli Mungu wangu si kiziwi alisikia maombi yangu wakati wanajiandaa vifaa na chumba cha upasuaji nami nikajifungua njia ya kawaida.
Mimi ni nani mpaka niogope kujifungua kawaida ilihali hata kwenye vitabu vya dini vimetueleza tuzae kwa uchungu.
Nafikiri huo uchungu na experience hiyo ndo inatengeneza bond aiseee nampenda sana kidume changu na yeye ananipenda hatariiii na tumefananana mno.