Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

Mhhhh kwa jinsi mshono unavyouma (ninavyowasikia wakilalamika) lakini pia naimagine mtu kuwa na kidonda mshono wa maisha, mimi nilikuwa naingizwa kwenye chumba cha upasuaji aiseee niliomba niliomba sana Mungu aniepushe na kisu niliomba sana jamani sidhani kama mpaka leo kuna siku nliyoomba kama siku ile, ikatokea bahati pia kuna mchungaji kaja kumuombea mtumishi wake kwa vile labour nzima niliyekuwa naomba kwa sauti ni mie wakajua huyo mchungaji amenifata mie basi wakamuingiza chumbani kwangu kwa dakika 2 aiseee niliomba siku ile sikulia kama wengine mimi niliomba tu niepushwe na kisu, na kweli Mungu wangu si kiziwi alisikia maombi yangu wakati wanajiandaa vifaa na chumba cha upasuaji nami nikajifungua njia ya kawaida.
Mimi ni nani mpaka niogope kujifungua kawaida ilihali hata kwenye vitabu vya dini vimetueleza tuzae kwa uchungu.
Nafikiri huo uchungu na experience hiyo ndo inatengeneza bond aiseee nampenda sana kidume changu na yeye ananipenda hatariiii na tumefananana mno.
 
Dunia ya kisasa. Itafika wakati hata kubeba mimba watu watasema watumbo yao yanatanuka. Tutahamia kwenye test tube babies.
Na ndiko wanawake wanapotupeleka huko.

Kuna li-feminst limoja lilikuwa linawahasa wanawake wenzie waache kutumia birth controls hasa hizi contraceptive pills eti zina madhara makubwa sana mwilini mwao na badala yake wanaume ndio tuwe tunafanya vesctomy na likasema kabisa eti inaweza kuwa reversed.

Ilibidi nilipige BLOCK kabisa muda ule ule.
 
Siyo alama tu na ni ulemavu wa maisha aisee maana kidonda kile kipindi cha baridi huwa wanalalamika sana mshono kuuma, Mungu anijaalie watoto wangu wengine niwazae kawaida kama huyu niliyenae, mimi nafikiri operation iwe last choice ili kunusuru maisha ya mama na mtoto au ya mmojawapo ila si suala la kuombea uipate.
Hivi nasikia ukizaa kwa opereation inaacha alama hapa kwenye tumbo?

Heri nije kuzaa kwa uchungu wa kupush kuliko kubakiza alama tumboni
 
Kwanza kabisa ni maamuzi yake na anasababu zake. Si kila mtu anataka ku experience uchungu wa uzazi.

Pili operation haisaidi kitu katika kubakiza usichana wa mtu. Kwa maana mtu anapokaribia kujifungua njia huwa ishaanza kutanuka (if at all unadhani kuzaa kawaida kunalegeza chiu). Kama matiti kulegea huwa yanalegea tokea kipindi cha mimba unless uwe hujanenepa.
Kwa sababu zipi za msingi usitake ku experience uchungu wa mzazi na uende ukapusuliwe huko ubaki na likidonda la maisha?
 
Wengi wao ni wale waliokuwa wanajifungulia nyumbani ambapo mazingira sio rafiki hata kidogo.

Labda nikuulize na nyie wa siku mnaojifungua kwa kupasuliwa huwa hamfi?
 
Hadi ufiwe na mtu wako wa karibu ndo utaelewa risk za uzazi wa kawaida
Una juhudi kweli za kuwatia uwoga wenzio wewe mwanamke.

Basi mimi kuna dada yangu ametoka kujifungua wiki iliyopita kwa njia ya kawaida, na alikuwa ni mtoto wake wa tatu na ana wadogo wengine wawili kila mmoja ana mtoto na wote wamejifungua kawaida.

Lifestyle waliyonayo ni too old-fashioned.

Sasa mimi nadhani haya mawazo unaya hubiri ukiwalenga wale wenzako na wewe unaoishi maisha ya kikadashian kardashian na wala sio wanawake asilia.
 
Cha ajabu wanaume ndio mmekazania tuzae kawaida, mnafaidi nini wenzenu wakizaa kawaida na mnapungukiwa nini wakipata mtoto kwa C-section? Mi naona siku hizi wanaume mnashupalia sana yasowahusu.

Kama mnatuonea wivu jifungueni kwa CS na nyie
Mpaka sasa hivi umesha chanwa chanwa mara ngapi hapo chini ya kitovu?
 
Na njia ya kawaida pia sio nzuri, kila kitu kina faida na hasara zake.
Kwa misingi ipi?

Hasara za njia ya kawaida uzito wake unaweza kulinganisha na za hiyo njia yenu pendwa ya kuchanwa chanwa?
 
kila mtu achague njia anayopenda,

zamani ndio option ya kuwa na operation ilikua mpaka kuwe na tatizo mahali...

watu wengi walijifungua kwa njia ya kawaida,.

.ila we paid high cost kwa kupotelewa na ndugu zetu kwenye ku push..

Maternal death is still high kwetu

.sijajua kama operation inapunguza hili tatizo.:rolleyes::rolleyes::rolleyes:

.sijazaa ila kwa ushuhudia tu this must be painful experience,

nikiwa mjamzito nataka nilale(anesthetic),nikiamka kitoto changu kiko pembeni..LOL
 
Mimi huwa nawaonea huruma kipindi cha mawingu wenye mishono hata kuokota kijiko hawawezi utamsikia mshono unavuta Leo
Binafsi mimi nitamuonea huruma kama alikuwa na sababu za msingi za kuchanwa chanwa, Lakin kama alipenda kuchanwa tu mwenyewe kwa sababu za kipuuzi kama ninazoziona hapa nitamuacha akome sitomuonea huruma hata kidogo
 
Mhhhh kwa jinsi mshono unavyouma (ninavyowasikia wakilalamika) lakini pia naimagine mtu kuwa na kidonda mshono wa maisha, mimi nilikuwa naingizwa kwenye chumba cha upasuaji aiseee niliomba niliomba sana Mungu aniepushe na kisu niliomba sana jamani sidhani kama mpaka leo kuna siku nliyoomba kama siku ile, ikatokea bahati pia kuna mchungaji kaja kumuombea mtumishi wake kwa vile labour nzima niliyekuwa naomba kwa sauti ni mie wakajua huyo mchungaji amenifata mie basi wakamuingiza chumbani kwangu kwa dakika 2 aiseee niliomba siku ile sikulia kama wengine mimi niliomba tu niepushwe na kisu, na kweli Mungu wangu si kiziwi alisikia maombi yangu wakati wanajiandaa vifaa na chumba cha upasuaji nami nikajifungua njia ya kawaida.
Mimi ni nani mpaka niogope kujifungua kawaida ilihali hata kwenye vitabu vya dini vimetueleza tuzae kwa uchungu.
Nafikiri huo uchungu na experience hiyo ndo inatengeneza bond aiseee nampenda sana kidume changu na yeye ananipenda hatariiii na tumefananana mno.
Nimefarijika mno kusoma comment yako mkuu.

Na nyie ndio wanawake uliongelewa na nabii Isaya, wanawake shupavu na jasiri wanaostahili kupewa heshima zote.

"Utazaa kwa uchungu"

Hongera kwa kutuletea kidume, mtu kama wewe hata nikiskia unasema una uchungu na mwanao nna kuelewa.
 
Siyo alama tu na ni ulemavu wa maisha aisee maana kidonda kile kipindi cha baridi huwa wanalalamika sana mshono kuuma, Mungu anijaalie watoto wangu wengine niwazae kawaida kama huyu niliyenae, mimi nafikiri operation iwe last choice ili kunusuru maisha ya mama na mtoto au ya mmojawapo ila si suala la kuombea uipate.
Ujinga Mzigo!! Wenzako wengi siku hizii huwa wanachagua kupasuliwa hata kabla ya mimba.

Ukiwaona wanalalamika uwe unawaambia wakome.
 
Kuzaa kawaida inaongeza thamani ya upendo kwa mtoto.
Maana unajua kabisa kwamba huyu mtoto uchungu wake nimeufill vya kutosha.binafsi nilimuomba MUNGU nijifungue kwa njia ya kawaida na akanisaidia kweli.mungu ni mwema
Na hapa ndipo uchungu wa mama kwa mwanae ulipo. Kuzaa kwa uchungu.

Sasa kuna wenzako huo uchungu hawataki bata kuuskia, wanapenda kuchanwa. Halafu hao hao unawakuta na wenyewe eyi
eti wanashupaza kwa kunukuu maandiko "nitazaa kwa uchungu kisha utakula..." shubmit
 
Back
Top Bottom