babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,470
- 21,189
Women gani unazungumzia mkuu?Hii hoja huwa inanishangaza sana. Kwamba mkiingia kwenye mahusiano maisha yenu yanaganda kumsubiri mwanaume?
Ndio maana sometimes huwa nawaza women empowerment ni poor utilization of fund and resources. What is a meaning of empowering a girl child if she will grow up and expect a man to solve all of her living responsibilities.
Hii nayo ni shida, mtu anaweza toa upendo wewe. Unahesabia umepewa bureUnaendaje kupigwa kende kwa 10000?
Hiyo si hela ya maji tu.
Nureen muhindi huyu mara ya mwisho ndo nilimpa 35000.
Na akanirudishia zote asubuhi na kusema niende kwao nikamuoe.
Sijawai kuhonga senti 10 tokea miaka 25 sasa.
Hawa na mwenzie nilikula buure kabisa.
Wanapishana tu chumbani .
Kwa hiyo unaona ni heri uolewe na mwanaume mwenye mapesa yake tayari hili kusudi hata akiwa anazitumia kwa michepuko kwako wewe haitakuuma sana si ndio maana yake?Tuanze chini , tukijipata anaanzq kuongeza michepuko pesa inaenda nje , ndani unaanzq kuhangaika pesa yote nje
Ya nn yote hayo?
Kwa hiyo kumbe hofu yako wewe ya kuanza na maskini mwenzio from the scratch ni ila akianza kuchepuka na kutumia pesa ambazo mmezitafuta wote kwa wanawake michepuko yake si ndio?Hapo sasa utajua we mwenyewe mkuu! Hujui tu uvumilivu wa kuanza na mtu chini ntajichosha kukuelezea.. magumu anayopitia mtu kumvumilia mwenzie vishawishi anavyovuka mpaka wafikie lengo! Jinsi mtu unavyojikana ili mwende sambamba na huyo masikini⦠Halafu anajipata anajiona matawi; hivi nilikutanaje kutanaje na hili limwanamke!! Hapa hatuongelei tamaa ya pesa tunaongelea kuanza na mtu chini, kama huwezi kutuliza fahamu vzr unakimbilia tamaa ni ww sasa! Sio kila jambo ni kuhusu tamaa na sio kila mtu ana tamaa..
Huwezi kuelewa , sisi ambao ni wahanga ndo tunaelewa!Kwa hiyo unaona ni heri uolewe na mwanaume mwenye mapesa yake tayari hili kusudi hata akiwa anazitumia kwa michepuko kwako wewe haitakuuma sana si ndio maana yake?
Maana mnavyokomaa na hii hoja yenu, utafikiri hao wanaume mnaowakuta wameshajipata ndio huwa hawachepuki.
Kwa vile wengi wao upeo ni mdogo sana hawawezi kukuelewa hapa.Wanawake wengi wamejikuta wameingia kwenye ndoa za majuto kwa tamaa ya pesa, kumbe amani yao ilikuwa kwa mwanaume masikini aliyemdhania. Ni woga tu, maisha mazuri ya ndoa ni wote muanzie kwenye zero point
Hawa wanawake wa kisasa wana upuuzi mwingi sana waliokaririshwa kwenye semina zao za usawa.Siyo kweli, uzuri wa mwanamke ni sura na makalio, siyo hali yake ya kiuchumi wala mazingira na endapo atakuwa hana elimu kubwa sana huyo ndiye anafaa kwa familia bora maana anakuwa hana makuu.
Feminism imewauzia wanawake illusion mbaya sana. Katika list ya makundi ambayo nayadharau wakitoka mashoga wanafuata feministsHawa wanawake wa kisasa wana upuuzi mwingi sana waliokaririshwa kwenye semina zao za usawa.
Yaan mpaka wanaamini vigezo walivyojiwekea wao kwenye uchaguzi wa mwanaume kama vile kipato,umri mkubwa na urefu basi ndio hata wanaume nao tumejiwekea vigezo hivyo hivyo kwenye kuchagua mwanamke.
Wasichokijua wanaume tulio wengi vitu kama financial status ya mwanamke huwa hatuangalii kabisa, kikubwa hasa tunachoangalia ni physical attractiveness na haiba ya kike(feminity).
Leo hii mwanamke kama "Sanchworld" ana thamani kubwa sana kwenye soko la mahusiano kuliko mdada mwenye muonekano wa kawaida ambaye ana PHD kutoka Cambridge university na Boss wa NHIF na anakunja mshaara wa 35m kwa mwezi.
Yaani we mwanamke hata uwe na pesa kiasi gani, ila kama ni mbaya hauna mvuto wowote, hakuna mwanaume atakayekuwa na shobo na wewe sana sana wewe ndio utaishia kutongoza na kuhonga wanaume. Wakati huo kuna Khadija matako wa uswahilini ambaye hana pesa wala elimu ila ndio hivyo tena wanaume wanamtafuta kwa hudi na uvumba.
Sasa huyo anayesema eti hata sisi wanaume hatupendi kuwa na mwanamke maskini, anachekesha sana.
Sasa kisichoeleweka nini hapo sasa?Huwezi kuelewa ,
wakikutwa na pesa wAtajua wenyewe pesa katafuta mwenyewe aonge anavyotaka hiyo michepuko ....ila sio uhangaike na mkeo instead of ku focus kujenga familia atafute mwingine ale mwingine...
NdioKwa hiyo kumbe hofu yako wewe ya kuanza na maskini mwenzio from the scratch ni ila akianza kuchepuka na kutumia pesa ambazo mmezitafuta wote kwa wanawake michepuko yake si ndio?
Swali, sasa je, hao wanaume ambao mnawakuta tayari wameshajipata ndio huwa hawachepuki?
Au hao wanaume ambao tayari mnawakuta wameshajijenga hata wakichepuka haiwaumii chochote kwa sababu tu hamkushirikiana kutafuta pesa wanazohonga kwa michepuko yao?
Nisome tenaSasa kisichoeleweka nini hapo sasa?
Mbona umeruka ruka wee halafu mwisho wa siku umekuja kwenye ile ile nadharia yangu? ambayo ndio ukweli wenyewe.
Hiyo kauli yako ya "watajua wenyewe pesa katafuta mwenyewe, aonge anavyotaka hiyo michepuko".... inaonesha kwamba kama mumeo umemkuta tayari ana hela zake hauna shida kabisa hata akizimalizia zote kwa michepuko, kwa sababu tu haukuwepo wakati anazitafuta.
Hivyo basi, nyie mko tayari kuvumilia umalaya wa mwanaume ambaye mmemkuta tayari ana fedha zake, ila sio mwanaume ambaye mmeanza naye chini.
Na huu ndio ukweli wa hii hoja yenu ambao mnanajing'ata ng'ata kuukubali.
Feminism ni silaha anayoitumia shetani kuwaangamiza wanawake kwa kuwapotosha vitu vingi kuhusu maisha.Feminism imewauzia wanawake illusion mbaya sana. Katika list ya makundi ambayo nayadharau wakitoka mashoga wanafuata feminists
Nani alikwambia hiyo ndio maana ya feminism?π yaani mpaka mambo ya kishenzi sikuhiz yanajumuishwa kwenye feminism kumbe!Feminism ni silaha anayoitumia shetani kuwaangamiza wanawake kwa kuwapotosha vitu vingi kuhusu maisha.
Baada ya wanawake kuona equality wanayoitaka wao haiwezekaniki, sasa hivi feminists wanawasisitiza kuji isolate na wanaume na kisha kutafuta pesa kwa hudi na uvumba wakiamini eti kuwa pesa itamreplace mwanaume na kuwafanya wawe na maisha ya furaha zaidi.
Ngoja tuone mwisho wao.
Hongera sana kwa kuubalia ukweli, watu kama wewe ambao mmenyooka hata Mbinguni huwa mnaingia moja kwa moja bila visa.Ndio
Sijui hata unachokataa ni nini wewe mwanamke, wakati comments zote unakubaliana na nadharia yangu.Nisome tena
Wapi nimerukaruka
Mi nimekujibu ulichoandika!
Na nimesema personally siwezi ku handle hayo mambo...sina huo moyo kabisa...
Nimekujibu ni bora ahonge hizo pesa zake sio atafute mke ale mchepuko...sio fair..
Sijasema kuwa watu wawe tayari kuvumilia umalaya wa waume zao...
Ndo maana divorce rate ni kubwa, na zinaombwa na wanawake
It is deeper than you think my dear.Nani alikwambia hiyo ndio maana ya feminism?π yaani mpaka mambo ya kishenzi sikuhiz yanajumuishwa kwenye feminism kumbe!
Halafu unavyosema eti personally hauwezi kuhandle cheating, wakati huo kichwani mwako unatembea na imani ya kwamba sisi wanaume ni wachepukaji siku tukijipata.Nisome tena
Wapi nimerukaruka
Mi nimekujibu ulichoandika!
Na nimesema personally siwezi ku handle hayo mambo...sina huo moyo kabisa...
Nimekujibu ni bora ahonge hizo pesa zake sio atafute mke ale mchepuko...sio fair..
Sijasema kuwa watu wawe tayari kuvumilia umalaya wa waume zao...
Ndo maana divorce rate ni kubwa, na zinaombwa na wanawake
Ninaijua ndani nje na nimeisoma vzr mpk chuo kikuu.. hiyo modernization mnayotaka kuitumia haiapply hapa ila mnaforce tu! Mtu huko kaamka na imaginations zake za kutaka danga liwe na sifa za mume sjui mahari kilo 150 mnakuja kusema ni feminsm ..It is deeper than you think my dear.
Najua wewe umekariri "equal rights for education, equal opportunites, equal rights for freedom, equal blah..blah.." si ndio?
Sasa sisi tunaiangalia zaidi ya hapo na hasa hii modern feminism imeleta upumbav mwingi sana kwenu nyie wanawake, ila hamjui kwa sababu social engineering mnayofanyiwa.