Wanataka tuwe serious sana na maisha! Wanawake tukijua yanayoendelea duniani yanatusaidia nini? Nyie wanaume siasa mpaka sasa zimewasaidia wapiπHalafu kila siku mnalalamika humu kua wanawake wasomi hua hawaolewi kwa ujuaji wao,mara Wanawake matajiri hua hawaolewi!
Mnawachanganya hao wanawake mpaka hawajui sasa washike lipi hasa,
Mara Mwanamke akiwa kiongozi mnalalamika,mara wengine wadai kua raha ya Mwanamke asijue mambo mengi,
Vipi kama na wao wakilalamika kua sisi Wanaume hatufuatilii mambo ya umbea,watakua wapo sahihi?
Acha kila mtu afuatilie issue ambazo yupo interested nazo,utofauti wetu na wao ndio unaifanya Dunia kua hivi,hatuwezi kufanana kwa kila jambo,
Love the life you live
Live the life you love.
Malezi tamaduni na desturi huathiri .Tho wanaendeshwa na hisia zaidi
Hapana kwamba?Hapana bhana!
hivi field ya Civil ni ngumu? Kuliko ya Mechanical??.Kuna mmoja ni civil engineer nilimkuta kwenye mradi wa ujenzi wa barabara mtoto kala vumbi la hatari
Hata mume au watoto wake wakipita wakamuona lazima wabubujikwe machozi
Kwenye kozi ngumu za engineering ikifika muda wa kuingia field kwenye kazi kikweli huwa mnatia huruma sana
Ukweli usemwe zile mbanga zimekaa kiume
πππππ wallah Leo nacheka sana hii mada.π€£π€£π€£π€£ acha waendeee kudhani tupo stone age
Umenena vyema .....Hoja zenye mashiko ndio kuchambua siasa? Binafsi sipo kwenye hizo platform umeorodhesha hapo juu lakini sio sababu ya kuanza kuchambua mpira wala vipindi vya mahojiano!
Kuchangia mada za hapa jf wengine tunajifurahisha tu na in real life we are totally different people! Kwahiyo we ukiona mtu kakaa kimya anasoma tu ndio mwanamke unaemdhani unafeli bruh! Kujua personality ya mtu kwa kutumia hivyo vigezo vyako kwa hapa, utakwama kijana!
Never ever in ma life nitatamani position za wanaume eti nionekane intelligent woman, kama wao wanaweza kazi ngumu wengine tuko competent kwenye biashara and so forth!Kuna mmoja ni civil engineer nilimkuta kwenye mradi wa ujenzi wa barabara mtoto kala vumbi la hatari
Hata mume au watoto wake wakipita wakamuona lazima wabubujikwe machozi
Kwenye kozi ngumu za engineering ikifika muda wa kuingia field kwenye kazi kikweli huwa mnatia huruma sana
Ukweli usemwe zile mbanga zimekaa kiume
Hizi coz mbona zina wachumba kibao na ni vipanga wa kutishahivi field ya Civil ni ngumu? Kuliko ya Mechanical??.
Acha masikhara wee ujuee, Khaaah..
Watu wanabaruzaa ile ileee.
Huwa inauma kinoma demu mkali balaa ila anakimbiza kwenye Computer Engineering. Huko O na A levels kakichafua balaa. Mambo yamebadilika. Unakuta njemba ina-risit Geography na Kiswahili form four.Siku hizi hadi mashoga tena wale walio kike haswaa, wamepiga Engineering na MD hukooo.
Na Hawana habari wala nini. πππππ
Ila straight uchwaraaa, kwa kupenda kujikwezaa, yaani hawajiaminii kabisaa
Inanishangaza tu pale ambapo mtu anafanya assumptions za kumjua mtu kupitia nyuziπ€πππππ yaani JF inanipa raha mie, awwww!!
Mtag tu ajionee aisee!Umenena vyema .....
Natamani nim tag boss wangu hapa yuko jf ni mwanamke huku anashinda mmu ila in real life ni mtu na nusu.
Wapo watu kama kina Jadda dada yake kirangaNever ever in ma life nitatamani position za wanaume eti nionekane intelligent woman, kama wao wanaweza kazi ngumu wengine tuko competent kwenye biashara and so forth!
Matokeo yake ukimfokea au ukimpiga anashangaa unashangaa nini ss unataka wote tuwe wachambuzi wa mabo magumuπ
Muwaambie hao wenzio, ambao bado wako gizani, wanajua ni zama zilee. Kumbe zimebadilika, lol.Hizi coz mbona zina wachumba kibao na ni vipanga wa kutisha
πππ nina rafkiangu mrembo sana ila ni IT acha kabisaaHuwa inauma kinoma demu mkali balaa ila anakimbiza kwenye Computer Engineering. Huko O na A levels kakichafua balaa. Mambo yamebadilika. Unakuta njemba ina-risit Geography na Kiswahili form four.
Mechanical ni mziki haya sasa tuseme kwa mfano binti kamaliza masomo hayo anaingia kupiga kazihivi field ya Civil ni ngumu? Kuliko ya Mechanical??.
Acha masikhara wee ujuee, Khaaah..
Watu wanabaruzaa ile ileee.
Na dunia ya sasa mwanaume wenye akili zaidi ni yule anae jua kuishi na wanawake vizuri ,yani kutoboa kimaisha ni fasta sana .π€Muwaambie hao wenzio, ambao bado wako gizani, wanajua ni zama zilee. Kumbe zimebadilika, lol.
Maana hawana wanalolijua.
πππππππ mbona ku resit.Huwa inauma kinoma demu mkali balaa ila anakimbiza kwenye Computer Engineering. Huko O na A levels kakichafua balaa. Mambo yamebadilika. Unakuta njemba ina-risit Geography na Kiswahili form four.
Hii mentality kumbe iko wazi kweli?? Najuaga ni baadhi ya watu.
Ko hata Feminine Gay, akipiga Engineering au MD bas ni ajabuu??
ππππ hii nchi ime corrupt, sio bureee.