Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
Kutunza ni jadi yangu. Mtoto akikohoa lazima niwe karibu
na akijamba je?
pia utakuwa karibu?
Kutunza ni jadi yangu. Mtoto akikohoa lazima niwe karibu
Mimi napenda watoto warefu 5.8ft na kuendelea.
Huwa nafurahia sana kuwa mwanamke mrefu, maana hata ukimkunja anakujika vizuri. Halafu sasa itokee mmetoka nae out kapiga pamba za ukweli dah msukuma mimi raha mpaka kwenye nywele.
Sipendi tipwa tipwa, sipendi wenye makalio makubwa.
Napenda toto inayojua kutunza nywele. Mimi msukuma mimi najisikia kweli na huyo mtoto anakuwa malkia kwangu.
Mimi napenda watoto warefu 5.8ft na kuendelea.
Huwa nafurahia sana kuwa mwanamke mrefu, maana hata ukimkunja anakujika vizuri. Halafu sasa itokee mmetoka nae out kapiga pamba za ukweli dah msukuma mimi raha mpaka kwenye nywele.
Sipendi tipwa tipwa, sipendi wenye makalio makubwa.
Napenda toto inayojua kutunza nywele. Mimi msukuma mimi najisikia kweli na huyo mtoto anakuwa malkia kwangu.[/QU
Daaaaah basi hatari.....after all me sio mfup wala mrefu.
afwadhali unisaidie kuulizaWafupi ukorofi wetu nini??@Mzabzab
Wewe mrefu wa futi ngapi?
intermediate mimi ..wanasema vice versa is true unasemaje kuhusu huu msemo mana wasichana wafupi hupendelea wavulana warefu.! wavulana warefu hupendelea wasichana wapupi kidogo at least wanaofika mabegani n.k.. kasheshe kwa wavulana wafupi sasa wao hupendelea wasichana warefu ili at least watoto wawe warefu kama mama zao sio mtoto akitumwa vyombo kabatini kwa juu mpaka aulize mama ile stuli iko wap? SO I DOUBT KWAKO. he heh heee yaliyomo yamoo..
Nani ka kwambia hivyo?
Vifupi nyie Matata sana
........mdomo na ubishi !
afwadhali unisaidie kuuliza
mama yoyoo..kutunza na kupenda ni issue tofauti!unajua kutunza au kuongea tu?
asikuambie mtu..team shotiii haifai!....wana maneno maneno saaana!Daaah ila wafupi tuna advantage....wawezaa kuolewa na yeyote wafupi kwa warefu. Warefu ni lazima watafute warefu wenzao
asikuambie mtu..team shotiii haifai!....wana maneno maneno saaana!