Wanawake warefu wana raha yake.

Wanawake warefu wana raha yake.

worlds-tallest-model-91.jpg
 
Hayo ni maoni yako usitake kila mtu abebe dhana yako mkuu.

Kasema msukuma yeye umekuja mbio kumjibu utadhan kawasemea wasukuma wote. umevurugwa si bure. Ni wapi mleta mada kashawishi wengine wabebe dhana yake? huna hoja kaa kimya usichangie
 
Wewe nae umetuchosha na vistory vyako vya uongo kha!mwanaume unaona raha gani kutunga vithread vya uongo?maana jana ulisema umeachana na mnywaranda unatafuta mwingine leo unaibuka na story tena sijui za nywele khaaa!!!!!

Punguza povu mkuuu.....
 
Wafupi taaabu sana mimi sijui kwa nn
 
Nishaanza kupata experience hapa,Inawezekana kati ya wanawake 5 wafupi,watatu wana sifa hizi.....
Kwa leo chache tu
1.Mcharuko
2.Mshari
3.Hana dogo,jambo dogo la kuelewana anataka aelewne kwa Mabavu/Matusi
4.Mdomo/kilio ndo Kinga yake.
5.Akiwa na furaha,watu woote mtajua na akinuna vivyohivyo.
6.Anapenda sana Urafiki wa kiumbea umbea
i.Akiwa kundi A anaona yupo collect anawaponda B na kuleta umbea wa kutoka kundi B.
ii.Vivyo hivyo ya A anapeleka B.Yaan ndumilla Ku wili.
7.Anachosema yy ndo kiwe sahh tu,akirekebishwa anaona kama Umempuuzia au umemdharau kwa namna moja ama nyngne hivyo atakuwa Mnyonge kwa kukosolewa tu.
Wakuu niishie hapa na wengne mtaongeza zenu.
 
Ajakwambia upende apendacho.
Kama vp ungepita kimyakimya

Mwambie kaka. Anakurupuka kuchangia bila kusoma maudhui ya hoja. Mleta mada anasema YEYE anapenda watoto warefu ft5.8. ansema YEYE ugonjwa wake nywele, hapendi tipwatipwa.

Huyo Simiyu yetu anakerwa nini sasa jamaa kupenda warefu? Simiyu yetu una dada mbilikimo nini au my wife wako kama wale wa misitu ya kongo maana unabwabwaja sana kuona jamaa anapenda warefu. au ukoo wenu una kale kaugonjwa ka kuwashwa makalioni ukiona post unawashwa lazima uchangie hata kamaa uchangiacho pumba. Badilika bwana.
 
Wenyekujua kutunza nywele kuliko papuchi zaombona wapo wengi tu tafuta utwapata
Mimi napenda watoto warefu 5.8ft na kuendelea.
Huwa nafurahia sana kuwa mwanamke mrefu, maana hata ukimkunja anakujika vizuri. Halafu sasa itokee mmetoka nae out kapiga pamba za ukweli dah msukuma mimi raha mpaka kwenye nywele.

Sipendi tipwa tipwa, sipendi wenye makalio makubwa.

Napenda toto inayojua kutunza nywele. Mimi msukuma mimi najisikia kweli na huyo mtoto anakuwa malkia kwangu.
 
Tatzo la wanawake wafupi wanaongea sana muwapo out,but nimekuja kujua baadae sana kua hiyo ni asili yako kwasababu hawajiamini so hufanya vile ili nao waonekane kama wenzao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom