Mimi napenda watoto warefu 5.8ft na kuendelea.
Huwa nafurahia sana kuwa mwanamke mrefu, maana hata ukimkunja anakujika vizuri. Halafu sasa itokee mmetoka nae out kapiga pamba za ukweli dah msukuma mimi raha mpaka kwenye nywele.
Sipendi tipwa tipwa, sipendi wenye makalio makubwa.
Napenda toto inayojua kutunza nywele. Mimi msukuma mimi najisikia kweli na huyo mtoto anakuwa malkia kwangu.
M naamini hakuna mtu mrefu anataka dem mfupi... itokee tuu... coz hata madem wafup hawapend wafup wenzao
kweli bwana tall ladies ata mie napenda tena nataka yule akivaa high heels anipite kidogo urefu. that feeling ya kana kwamba she dominating me full burudaniiii.
alafu awe anavaa dresses na anabana belt kiunono loh...utamtaka.
last but not least warefu full upole. wafupi wakorofi sana.
Licha ya ku bore wana inferiority complex hawajiamini wakuweka kinyongo umfanyie chochote anaona kama una mdharau vile in short wasumbufu
Cousin ndio umekuja nitangaza uku na ufupi wangu
hueleweki..
Kwakweli huja fikia kiwango. Sipendi kuumiza moyo wango.
Salawe kwetu Solwa kwetu
wewe ni kama mimi, I am tall and I like heels. Ila my man ni mrefuuu, so sipati hizo tabu. Ukiwa mrefu na usafiri mzuri, ulionyooka vizuri, na ukivaa heels na kimini... we unanogaje? heels na min zao ni warefu bwanaHahahahahaa! Umenikumbusha mbali sana aisee,hehehehee, especially that part about high heels. Nakumbuka i used to date this guy, he's tall & everything ila alikua hataki kabisa nivae high heels kisa anasema nikivaa high heels naonekana zaidi (yaani i become attractive) and he didn't like other men admiring his woman, loh! We used to fight over this issue siku moja kumaliza mzizi wa ugomvi akaja akabeba high heels zangu zote kwenye shoe rack yangu,weeeeh! Mbona palichimbika siku hiyo,damn! I am a tall lady, 5,9" ila napenda sana heels,the higher the heels the better!