WaKatende
Senior Member
- Jun 18, 2012
- 123
- 55
Salawe kwetu Solwa kwetu
Umenikumbusha mbaliii..... Nilikuwa na she pale Manhigana/lyabhukande mrefu wa kutosha. Sokoni hakupi tabu ya kumtafuta. Wangu enzi zile za kuwazimia mademu na kuficha pikipiki porini.. Nilikuwa natoka kakola ya bulyanhulu kwenda kulala kwao. Kituko ni siku niliyokuta wageni ndani.. Pikipiki niliiona mzigo.. Kumbe wakati nailaza kichakani mafuta yalivuja..