Hahahahahaa! Umenikumbusha mbali sana aisee,hehehehee, especially that part about high heels. Nakumbuka i used to date this guy, he's tall & everything ila alikua hataki kabisa nivae high heels kisa anasema nikivaa high heels naonekana zaidi (yaani i become attractive) and he didn't like other men admiring his woman, loh! We used to fight over this issue siku moja kumaliza mzizi wa ugomvi akaja akabeba high heels zangu zote kwenye shoe rack yangu,weeeeh! Mbona palichimbika siku hiyo,damn! I am a tall lady, 5,9" ila napenda sana heels,the higher the heels the better!