Wanawake warefu na weupe punguzeni dharau

Wanawake warefu na weupe punguzeni dharau

shortly.mpo hivyo wazembe hakuna mnacho jua ndy maana mnaongoza.kwa kuachika.hamdumu.kwenye ndoa
Ahahaaaa wewe kweli una kisirani cha kuachwa au kutokubaliwa. Pole sana maumivu yakizidi muone daktari. Utakufa bureee na kijiba cha roho.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ahahaaaa wewe kweli una kisirani cha kuachwa au kutokubaliwa. Pole sana maumivu yakizidi muone daktari. Utakufa bureee na kijiba cha roho.
nashukur kwa pole yako bas mmbadirike mlinge angarau.na kitandan mjitume
 
nashukur kwa pole yako bas mmbadirike mlinge angarau.na kitandan mjitume
Rangi, na urefu wa mtu vinahusianaje na kitandani? Basi wazungu wote wangekua hamna ki2. Maana wengi ni warefu na ni weupe wale sio weusi. Beyonce ana rangi gani?
 
Rangi, na urefu wa mtu vinahusianaje na kitandani? Basi wazungu wote wangekua hamna ki2. Maana wengi ni warefu na ni weupe wale sio weusi. Beyonce ana rangi gani?
wazungu kasoro yao hawana joto alafu.kakuambia nani wazungu warefu? au na ww umekurupuka? nsameh dada kwa kukuchokonoa
 
Takwimu umeifanyia limpopo majibu unakuja kuleta Tanzania
JF.hata kwa trump.wanasoma dada.yangu ulale umwombe mungu wasikuteke ukiona noha na watu.kimbia maana huki TZ wanateka kweli dada angu
 
Hii kweli kabisa coz kunasiku namfuat dada wa dizain hii aliniangalia kwa dharau na mm nikakaza kuongea nae na ndipo alipoona watu siakaanza kupayuka ovyoovyo oooo mara achana na mm yaan anajikuta machinoo alafu hapo unaweza kuta kuanzia asubuh ajasemeshwa duh!
 
Back
Top Bottom