Wanawake warefu na weupe punguzeni dharau

Usipende kuunganisha watu wote kwenye kundi moja eti kisa umewaona mademu zako wawili au watatu wana dharau,,,,fanya kwanza research inayoeleweka ndo utoe hayo matokeo,,mimi ni mrefu na ni mweupe ila sijawahi kumfanyia mtu yoyote dharau,,,tuombe radhi kwa assumptions zako na kutuchafua,,,,usiliamshe dude (in gwaji's voice)
ata maraya huwa ajijui kama yeye malaya jichungue dada utapata jibu
 
Mi Mbona hawanidharau, au kisa am a bad boy wallet imetuna siongei Sana
 
natunaini hamjambo

reo nimeona bola tishirikiashane kuhusu tabia za hivi viumbe vya aina hizi.mbili
::wanawake warefu::wanawake weupe

ndugu zangu hawa watu ni wanazarauuu sjapata kuona sjui inatokana na nini mpaka wanakuwa hivi na takwimu.zina.onesha wanaongoza kwa kuachika kutokana na zarau zao kama wenyewe wapo humu msumari wa power tiler uwachome

Msumari wa power tiler ukoje???
 
wanavyo sema watanzania maskin ina maana na bahresa nae maskin? na ww usikurupuke mm nna evidence na wengi wenu kitandani magogo kujifanya umedharau kumbe hajui
Umekurupuka mwenyewe pumbavu na kama imekuchoma tafuna wembe
 
ww ndy imekuchoma dada angu nsamehe ila ukwel ndy huo kama ww haupo ivyo ahsante mungu usipanic bhana vitu vidoogo tuu hiv
 
Jifunze kwanza kuandika vizuri ndo uje humu kutapika tapika hovyo,,,,sio penye herufi ndogo unaweka kubwa penye kubwa unaweka ndogo mara l unachanganya na r alafu unakuja na assumption zako hapa,,,we lini umewatest wanawake wote weupe au warefu ukawaona wana dharau?au ukawaona magogo?No research no right to speak boss.Tafuta hela uone kama kuna mwanamke yoyote atakudharau duniani,,vinginevyo hata hao wafupi na weusi watakudharau tu na utaendelea kuja kulalamika humu
wanavyo sema watanzania maskin ina maana na bahresa nae maskin? na ww usikurupuke mm nna evidence na wengi wenu kitandani magogo kujifanya umedharau kumbe hajui
 
Sasa wewe kama umetoswa na "a woman of ua dream" ambaye ni mrefu na mweupe usipende kufanya conclusion.

Kwa swaga hizo hata wafupi na weusi watakudharau
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jifunze kwanza kuandika vizuri ndo uje humu kutapika tapika hovyo,,,,sio penye herufi ndogo unaweka kubwa penye kubwa unaweka ndogo mara l unachanganya na r alafu unakuja na assumption zako hapa,,,we lini umewatest wanawake wote weupe au warefu ukawaona wana dharau?au ukawaona magogo?No research no right to speak boss.Tafuta hela uone kama kuna mwanamke yoyote atakudharau duniani,,vinginevyo hata hao wafupi na weusi watakudharau tu na utaendelea kuja kulalamika humu
teh teh dada mbona mkali saana utafiti nlio fanya mimi ni huku limpopo south africa sjasema nyie wa tanzania alafu.kuusu kuandika kweli.mm sijui nashukur umenielekeza dada una roho nzur but ni magogo tena yanayo subiri.kusafirishwa kwa kutupwa mtoni kule brazil
 
Usipende kuunganisha watu wote kwenye kundi moja eti kisa umewaona mademu zako wawili au watatu wana dharau,,,,fanya kwanza research inayoeleweka ndo utoe hayo matokeo,,mimi ni mrefu na ni mweupe ila sijawahi kumfanyia mtu yoyote dharau,,,tuombe radhi kwa assumptions zako na kutuchafua,,,,usiliamshe dude (in gwaji's voice)
Mwanamke anayempenda na kumfukuzia ni mweupe na mrefu. Kukataliwa kila siku anaona anadharauliwa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa wewe kama umetoswa na "a woman of ua dream" ambaye ni mrefu na mweupe usipende kufanya conclusion.

Kwa swaga hizo hata wafupi na weusi watakudharau
mme panic kweli tena kwenye ugogo hapo pana wauma dada yangu mimi.nna mke na familia na mke wangu mimi.mzungu raia wa bosnia but weupe waafrica wasumbufuuuu
 
teh teh dada mbona mkali saana utafiti nlio fanya mimi ni huku limpopo south africa sjasema nyie wa tanzania alafu.kuusu kuandika kweli.mm sijui nashukur umenielekeza dada una roho nzur but ni magogo tena yanayo subiri.kusafirishwa kwa kutupwa mtoni kule brazil
Sasa kama tafiti umefanyia limpopo unafikiri Tanzania hamna wanawake warefu na weupe. Na uzi wako kama ungekua mahususi kwa wanawake wa limpopo ungeweka title inayohusu wanawake wa limpopo
 
shortly.mpo hivyo wazembe hakuna mnacho jua ndy maana mnaongoza.kwa kuachika.hamdumu.kwenye ndoa
 
mme panic kweli tena kwenye ugogo hapo pana wauma dada yangu mimi.nna mke na familia na mke wangu mimi.mzungu raia wa bosnia but weupe waafrica wasumbufuuuu
Hamna relation ya rangi ya ngozi ya mtu na tabia. Unakutana na watu wenye confidence zao wanakutoa KO unakuja kulalamika huku.

Sasa kama una mke na watoto unahangaika nini na wanawake wengine. Na bora wanavyo kudharau.
Btw cha kupanic hapo ni nini
 
ww hujui.mwanaume ni kama chama cha siasa bila upinzani akiimariki? au hujui
 
Hamna relation ya rangi ya ngozi ya mtu na tabia. Unakutana na watu wenye confidence zao wanakutoa KO unakuja kulalamika huku.

Sasa kama una mke na watoto unahangaika nini na wanawake wengine. Na bora wanavyo kudharau.
Btw cha kupanic hapo ni nini
na ww mweupe alafu mrefu?
 
Back
Top Bottom