Nakumbuka very well mahondaw wangu.. Siwezi mpa mtu yoyote mbinu hata wakiniteka... Its between me and you super dear...Hahahaahhahahaahahahahaha adui usimpe mbinu mylove umesahau lol
Si ya kucheka haya ujue
Asante sana mylove now niko furesheeeeeee
Amich uuuuuuuuuuuuu Smart911
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Itabidi TUWAPELEKE TONGWE ILI WAPAKIWA NA NOAH
Love unanishukuru mpaka najionea wivu mwenyewe...I love you much more Smart911 wangu
Umepambana mpaka sasa natabasamuu nacheka naweza kula nikila chakula kinapita kabisa. Sasa na njaa naisikia kabisa zote hizi ni your love and carings ambazo ni za kipekee zinapatikana kwa wanaume wachache sana mliobarikiwa kama Smart911
Mtu asie na kukuru wala karara Smart911 a man of actions tu blaa blaa si fani yake kabisa hacheki na kimaa khakhaakhaa
Smart911 unanikoshaaaaaaaaaa
Asante sana namungu akubariki milele na milele Smart911
Kwako wewe si kwa kila mtu. Umemuuliza HARMORAPA naye kakwambia anapenda wanawake warefu weupe?kiukweli mwanamke mweupe anasoko sana kuliko mweusi
illiboriansKwanini ni REO,Jana vipi? Wana ZARAU Gani? Bola Umeongea.
Love unanishukuru mpaka najionea wivu mwenyewe...
-Nisipokujali, watakujali wengine na kunichukulia my mahondaw
-Nisipokupenda, watakupenda wengine na kunichukulia my mahondaw
- Nisipokutunza, watakutunza wengine na kunichukilia my mahondaw
Nimepata tabu na vikwazo kibao kwenye process nzima ya kukuweka kwenye himaya yangu... Umenikubali kwa nini nisikufanye ujione mweyewe bahati na siyo kujutia...
Kisses and Hugs love... Nakupenda sana mahondaw...
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]Nisipokusifia mimi who else then!
Khakhaa siwezi ruhusuu kima yeyote akusogelee
Vile unanicare mpaka nahisi kupasuka vile nivile tu mwili hauna shukrani
Khakhaakhaa sifungi domo langu wala nini
Sidaiwi na mutuuuuuuuuuu khah
Ila unajua nini Smart911......
Umutima wanje niwe wautwaye khakhaah
Bughachereree Bughachereree Bughachereree chereree cherereee
Oa mweusi mfupiNdio maana nataka nioe Black
1/10Kwako wewe si kwa kila mtu. Umemuuliza HARMORAPA naye kakwambia anapenda wanawake warefu weupe?
Shem vip mbona mbioMmmh kumekucha mchan mwema
Nyie mablackcute mtulieHeaven Sent hivi wewe ni mrefu au mweupe?
Karibu Umenyeni Minjingu Tuchome Mkaa Chief.illiborians