Wanawake warefu na weupe punguzeni dharau

Wanawake warefu na weupe punguzeni dharau

Ungekuwa unajua kucheza na psychology ya mwanamke, usingekuwa unayaona haya yote...

Fuata wakubwa wakufubdishe namna na mbinu za kumteka mwanamke hata awe wa namna gani atatulia tu...

Cc: mahondaw

# Nacheka kwa dharaaau.. #

Hahahaahhahahaahahahahaha adui usimpe mbinu mylove umesahau lol
Si ya kucheka haya

Asante sana mylove now niko furesheeeeeee

Amich uuuuuuuuuuuuu Smart911
 
Si ya kucheka haya ujue

Asante sana mylove now niko furesheeeeeee

Amich uuuuuuuuuuuuu Smart911
 
IMG_0392.JPG
Kwanini ni REO,Jana vipi? Wana ZARAU Gani? Bola Umeongea.
Hahahaha Kiswahili kazi kweli kweli!
Si kweli maandishi ya mtoa mada! Maana sisi huku ni warefu, weupe na pesa ipo tele! Baraka zaidi...,na kubwa ya yote nina busara na hekima ya hali ya juu sana! Ubarikiwe my friend!
 
Vice versa is true
Shida nikwamba hujiamini

Afu nimekuuliza wewe ni bukoba moja ??
Make bk ndo kuna habari za Reo= leo bola= bora aueni = ahueni huenda =uenda

Cc: Smart911
ndugu kabila linausu nn mimi tuu kuandika shida kitambo
 
Kama mkuu Manjagata alivyosema post #30 ..wengi ukiwaonyesha unawakubali wanavimba vichwa...play it cool utaanza kusikia ohh yule kaka anaringa..shida yao na ww ujishushe kama wanaowahusudu (fractionation formula the shogun method)
 
natunaini hamjambo

reo nimeona bola tishirikiashane kuhusu tabia za hivi viumbe vya aina hizi.mbili
::wanawake warefu::wanawake weupe

ndugu zangu hawa watu ni wanazarauuu sjapata kuona sjui inatokana na nini mpaka wanakuwa hivi na takwimu.zina.onesha wanaongoza kwa kuachika kutokana na zarau zao kama wenyewe wapo humu msumari wa power tiler uwachome
Usipende kuunganisha watu wote kwenye kundi moja eti kisa umewaona mademu zako wawili au watatu wana dharau,,,,fanya kwanza research inayoeleweka ndo utoe hayo matokeo,,mimi ni mrefu na ni mweupe ila sijawahi kumfanyia mtu yoyote dharau,,,tuombe radhi kwa assumptions zako na kutuchafua,,,,usiliamshe dude (in gwaji's voice)
 
wanavyo sema watanzania maskin ina maana na bahresa nae maskin? na ww usikurupuke mm nna evidence na wengi wenu kitandani magogo kujifanya umedharau kumbe hajui
 
Back
Top Bottom