Wanawake, Wanawake, Wanawake! Nimewaita mara 3

Hivi vinyimbo vya kipumbavu eti "mwanamke hapigwi bali hupigwa kwa kanga tu" huharibu sana vijana, makofi mawili ma3 humkumbusha Ke atambue haishi na Shost mwenziye.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
MARIOO huteseka sana, na mimi nasema acha waendelee kuumia sababu wamesahau wajibu wao na kuvaa wajibu ya kike kimahusiano.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 

Common sense jitahidi iongozwe na hofu ya Mungu kwani zipo common sense za kishetani zinazomuongoza mtu kufanya ya kishetani na akaona sawa tu na itokee upate mpambe ndio hapo anapokuja mwanamke mwenzenu anawakosoa mnavyotenda isivyopaswa mwanamke kumtendea hasa mume wake unaona anawafanya muonekane wabaya yeye aonekane mwema mwenzenu common sense yake inamuongoza kujua wajibu na nidhamu ya mwanamke mbele ya mwanaume publicly hata mkiwa mpo bee haimpress wanaume , bora mjengane wenyewe kwa wenyewe kupunguza kesi za kuletwa magunia ya mkaa majumbani.
 
Samahani kidogo bibie kabla sijaandika chochote, naona unaandika kwa lafudhi ya Kikenya . Hivi wewe ni Mkenya au unawaiga wa Kenya.

Narudi kwenye mada kidogo.

Haya ni matokeo usawa na kutaka kufanana kwa haki. Umagharibi huo na vitimbi vyake.

Hiyo ni matini, sherehe itakuja pale itakapo bidi.

Ahsante.
 
MARIOO huteseka sana, na mimi nasema acha waendelee kuumia sababu wamesahau wajibu wao na kuvaa wajibu ya kike kimahusiano.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app

Mda mwingine hata sio umario, maisha ni kama gwaride nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza. Kuna wengine wanapata fedha baada ya kuingia kwnye ndoa na wengine wanaporomoka kifedha humo humo ndani ya ndoa.
 
Nalipita huku na huku nikakutana na Mwanamke akiwambia wenzie,"yeye(mumewe) ni nani nimnyenyekee?"
Nikagundua ya kwamba Ujinga na Upumbavu hukaa kifuani kwa mwanamke ajiinuaye.
Je haijaandikwa wanawake watiiini waume zenu.?

Nikasonga mbele nikitafuta kufahamu zaidi nikamkuta Kijana shupavu na hodari akicheza na wana wa mkewe nyumbani,
Watoto na mke wamebagazwa kwa njaa na ufukara wa hali ya juu.

Akanifuata aning'ate sikio, akanena "kaka najua unanishangaa huyu mwanamke hajishughulishi kwa lolote!!, yeye hukaa nyumbani kusubiri kuletewa tu".

Nami nikamuuliza swali ikiwa ndoa yenu ni agano , Mungu baba wa mbiguni analijua, unadhani atazipitisha wapi baraka za kipato na Mavuno kuja kwa watokao viunoni mwenu?

Enyi wake kwa waume wa kizazi hiki,Jitahidini kila mmoja kwa uwezo wake, baraka za Mungu zipitie kwake, mkitegeana mnajifungia milango ya baraka.
Neno hili likawe baraka kwenu 'Amina!!
 
Ni UPUMBAVU Me kudhani hekima ni upole pekee akiwa na mahusiano na Ke, ndiyo yale huongea sauti ya 3 badala ya besi au kushindwa hata kumkalipia Ke akileta UJINGA kisa anaogopa kuachwa.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa alkuwa anakula na jamaa zake wapo nje,mwenye mke akaomba maji,aise!!!,kile kibinti kiligoma kufata maji ndani kikamwambia sileti live mbele ya washkaj
 
Huwa unanifurahisha mno unavyodadavua hoja zenye mantiki kimahusiano kihekima kama alivyo bibiye Namsund, ikwa una hekima hizi basi Mungu azidi kukulindia ndoa yako milele zote amina.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Nimekupa like za kutosha hadi nimechoka mkuu maana unatembea mule mule inavyotakiwa Me tuwe kiuhalisia kama walivyokuwa Baba zetu wahenga, big up broo.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya miaka 30, tutaanza kuunda vyama vya kutetea wanaume! Believe me! Na hii nayo ni mifumo inayowekwa eti haki za wanawake!
 
Mwanamke anasema huyo sio mwanaume inakuaje wanaishi kama mume na mke
Wanaume vaeni viatu vyenu msikubali wanawake kuwadharau. Hili ni kosa kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…