Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
"Nawakumbusha Wanaume wote msikubali kujipa unyonge mbele ya mtu aliyepewa kichwa kimoja tu, wakati wewe Mwanaume umepewa vichwa viwili, kimoja cha kufikiria na kingine cha kutia akili"Uwe na pesa,usiwe na pesa Mwanaume atabaki kua Mwanaume tu!! Mimi hata mke wangu ashinde biko bado Mimi nitakua Mwanaume tu,pesa yake haibadilishi uwanaume wangu hata siku moja!! Nawakumbusha Wanaume wote msikubali kujipa unyonge mbele ya mtu aliyepewa kichwa kimoja tu,wakati wwe Mwanaume umepewa vichwa viwili, kimoja cha kufikiria na kingine cha kutia akili!!
Nimecheka kwa sauti kubwa mno haha haha haha hahaaaaaa..........![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtindi ndala
akilala chali kwa bed, ngoma zinakimbilia sakafuni
Makofi tena...nimeahirisha kuolewa na weweHivi vinyimbo vya kipumbavu eti "mwanamke hapigwi bali hupigwa kwa kanga tu" huharibu sana vijana, makofi mawili ma3 humkumbusha Ke atambue haishi na Shost mwenziye.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Kuiga iga kila kitu kwa madai eti ndiyo utandawazi ilihali tunaowaiga wenyewe wamechemka ndiyo UPUMBAVU wa kiwango cha SGR.Ile 'Manhood' kwenye jamii yetu inaenda kutoweka kwa kasi sana, Ladies punguzeni uzungu jamani, this is too much.!!
MANHOOD kutoweka kwenye jamii" nchi za ulaya zimeshaathirika sana na hali hii,
- wanaume wengi hawahitaji tena ndoa.
- Baadhi ya wanawake nao baada ya kuona ndoa adimu hata boyfriend tu hawataki.
Hii imepelekea hawataki hata kuzaa.
Upweke unazidi kuzikumba hizi nchi.
IPO SIRI KUBWA KWENYE WAZUNGU KUPENDA MBWA HATA KULALA NAO VITANDANI MWAO.
Hivi sasa baadhi ya nchi za ulaya birth rate imepungua sana. Hivyo nguvu kazi pia inapungua pia.
Na sisi tutaelekea huko ikiwa hatutaidhibiti hii hali mapema, na sisi kwetu itatuathiri zaidi kwani mataifa yetu bado ni masikini sana.
Nimekupa like za kutosha hadi nimechoka mkuu maana unatembea mule mule inavyotakiwa Me tuwe kiuhalisia kama walivyokuwa Baba zetu wahenga, big up broo.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Hata mimi labda afanye tu kwenye simu!! lakini hata kwenye simu akileta mdomo huwa najibu mara moja ..mwelewa huwa anaelewa😂😂😂Mkuu huo uhalisia nauelewa mimi tu maana utekelezaji wake nishawahi kuufanya mara kadhaa. Muonekano wake unatakiwa uwe kama hiace iliogongwa na scania 😂😂😂 ili adabu ishike mkondo wake.
Mwanamke ananyanyuaje mdomo na kujibu utumbo. Labda afanye hivyo kwenye simu. Ila sio ana kwa ana ntamfumua vibaya mno.
Kabla hatujafika huko tuanzie hapa tulipo.Baada ya miaka 30, tutaanza kuunda vyama vya kutetea wanaume! Believe me! Na hii nayo ni mifumo inayowekwa eti haki za wanawake!
Mwanamke anasema huyo sio mwanaume inakuaje wanaishi kama mume na mke
Wanaume vaeni viatu vyenu msikubali wanawake kuwadharau. Hili ni kosa kubwa sana
Hana akili.
Kizazi Cha siku hizi kimejaa wanaume wasio na akili.
Mimi si mwanaumeNyie vijana uanamme sio utemi mlimuona Tyson ndoa mlishinda, Mandela bingwa wa ngumi akawa Rais wa nchi bado alimshindwa mkewe Winnie , umemuona Obama anavyoishi na mkewe , unamuona Kagame na utemi wake anavyoishi na mkewe au nao mtawaona wajinga, vijana kama mnataka muingie ndoa za milele jifunzenj vizuri hasa kwa waliodumu
katika miaka mingi 10,15, 25 ,50 ... punguzeni mihemko.
Nimecheka kwa sauti kubwa mno haha haha haha hahaaaaaa..........!
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Yaani mama D sisi wenyewe hapo hatujui tu deal na dada yetu au tu deal na mume wake maana sio kitu cha mara moja au mbili ni mfululizo wa matatizo kila kukicha. Tumeshapambana na dada yetu imeshindikana. Sema jamaa kweli hela hana kivile, na dada ndio wale wadada wa kichaga ana biashara zake mjini na ni mzuri kwakweli, mweupe pee ila anakula nyama choma kilo nne mwenyewe na bia mingi tuu!😀
Kabla hatujafika huko tuanzie hapa tulipo.
Mimi nadhani kabla mwanaume hajafanya maamuzi ya kuoa ajue inavyompasa kuishi kama kichwa cha familia. Kingine japo ni ngumu kujua kila tabia mapema mwanaume ampime sana mwanamke kwa ishu ya heshma ili aoe mwanamke ambae anaona ni mke atakayeweza kumsikiliza na kumheshimu
Unajua kwenye dunia ya leo wote wanawake na wanaume ni watafutaji lakini kwenye utafutaji huo tusipoteze ile maana ya nani kichwa cha familia.
Mwanamke asiyemheshimu na kumtii mume wake ajue tuu kwamba hata yeye anadharaulika na jamii. Heshima ya familia inabebwa na kichwa cha familia ambacho ni baba, hakuna mtu atayemheshimu mwanamke asiyemheshimu mume wake.
Utashangaa kuona mwanamke mjane au mama anayejiheshimu na kulea familia yake anaheshimika kuliko mwanamke anayeishi na mume asiyemheshimu
Habari nzima ya kulundika "wanawake hivi...", au "wanaume hivi..." bila kunyumbulisha zaidi ni ujinga.Nimeelewa.!
Ila kuna pahala wanaume majukumu yenu mmezembea hili mkubali tu.
Upo sahihi sana. Ila nadhani kuna tatizo kubwa la kimfumo katika jamii za sasa ambalo huko tuendako nadhani tatizo hili litakua kubwa zaidi ya lilivyo sasa.
Kwa sisi tuliokulia ktk familia za vijijini, tumejifunza maisha na majukumu ya mwanaume kwa kuangalia jinsi baba, baba wakubwa, wadogo, kaka zetu nk jinsi walivyokua wakiishi na wake zao, nini walikua wakifanya na nini walikua hawafanyi.
Lakini kwa hali ya maisha ilivyo sasa hasa katika familia za mijini, ni ngumu sana kwa kijana wa kiume kujifunza majukumu yake kama kichwa cha nyumba, wakati kila siku anamuona mama akimchapa makofi baba yake. Familia nyingi sasa ivi wamama ndio vichwa vya nyumba, wengine ni singo mazaz ata huyo baba hayupo. Hivi unategemea huyu kijana anaelelewa ktk mazingira kama hayo kesho anakujaje kuwa kichwa cha nyumba?
Najua unakataa lakini ukweli ndiyo huo na huniweka huru daima, hujiulizi kwanini Me wakorofi hudumu sana kwenye mahusiano na Ke?Makofi tena...nimeahirisha kuolewa na wewe
Tupe mrejesho sasa!!Niliwahi kuongea na mdada mmoja kuhusu hii tabia akasema 'ingia ndoani ndio utaelewa' nikaishia kunyamaza. I
Ufukweni/mwambao wa pwani/nchi au maeneo ambayo watu huishi kwa kutizamana na bahari Chifu.Nje ya mada mkuu, hebu nikumbushe neno "interlacustrine region" ilikua inamaanisha nini tena kwenye geography?[emoji23][emoji23][emoji23]