Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,481
- 11,688
Mkuu, na wako wachache kweli.
Sent from my iPad using JamiiForums
hao hao wachache mkuu. Mmoja wao sasa atapatkana
Mkuu, na wako wachache kweli.
Sent from my iPad using JamiiForums
Wanaume wamekuwa wachache sana....wengi wavulana na wengine mashoga
Why buying the whole cow if you can get milk peke yake.... Sababu sio kua wanawake wamekua demanding au tabia au sijui nini...lets be honest..nowdays...kijana anaweza kupata kila kinachopatikana kwenye Ndoa akiwa bado single.... sex,romance,etc.. sasa ndoa ya nini/
hao wanawake demanding hata zamani walikuepo...tofauti kubwa kati ya miaka ya zamani na sasa ivi..ni kuwa sex imekua soooo cheap...you can get it anywhere..tena sometimes for free na manjonjo kibao. ukweli ni kua ...miaka 10 inayokuja...ukiskia mtu anaoa...utakua unashangaa...maana kitakua kitu nadra sana..Binafsi sijaoa wala sitamani/sina plan ya kuoa...i think being single is cool...kwa miaka ya sasa ivi...its the best less stressful life..im talking from expirience.
mi tarajia kuoa nikiwa na miaka 21 au 22 saiz nina mia 18 nina mchumba ambaye 2mepanga kuoana xo mda ukifisha naoa faxta. cha msing ni kuandaana mapema na mpenz wako
Imekuwa mtindo kwa wadada wengi kupenda kuhongwa...wahongaji huwatumia kwa urefu wa hong zao basi1!!Hapo sijakuelewa wanahongwa ili waolewe ama??
Why buying the whole cow if you can get milk peke yake.... Sababu sio kua wanawake wamekua demanding au tabia au sijui nini...lets be honest..nowdays...kijana anaweza kupata kila kinachopatikana kwenye Ndoa akiwa bado single.... sex,romance,etc.. sasa ndoa ya nini/
hao wanawake demanding hata zamani walikuepo...tofauti kubwa kati ya miaka ya zamani na sasa ivi..ni kuwa sex imekua soooo cheap...you can get it anywhere..tena sometimes for free na manjonjo kibao. ukweli ni kua ...miaka 10 inayokuja...ukiskia mtu anaoa...utakua unashangaa...maana kitakua kitu nadra sana..Binafsi sijaoa wala sitamani/sina plan ya kuoa...i think being single is cool...kwa miaka ya sasa ivi...its the best less stressful life..im talking from expirience.
Habari zenu wana jamvi?
Kuna kitu kinanichanganya ni kweli hamna waoaji siku hizi au wanawake wanachagua sana?
Sasa hivi hili limekuwa kama janga la Taifa.
Single ladies wengi sana unakuta mwanamke mpaka miaka 33 hana hata mchumba wa kusingizia.
Na ni wengi mitaani tunawaona na wengi wao wakiona umri unazidi basi wanaamua kuzaa na kuwa single mums.
Nyie mnaonaje ni tabia hazikidhi mwanamke kuolewa?
Au ni gharama za harusi?
Wanaume please please muoe watoto wasio na baba wanazidi kuongezeka.
Na hamuwatendei haki wanawake.
mmmmmmmhmn kiukweli tatizo hilo lipo na ni kubwa sana.Mademu hawapo kwenye ndoa kwasababu nyingi mojawapo ni jinsi wametumia usichana wao kuanzia umri wa 16 hadi 28.Katika kipindi hiki wakuolewa huonekana na mjane bila ndoa huonekana pia.Hao manunga yembe wengi wao walileta ngebe sana katika miaka niliyowatajieni hapo,utakuta mvulana ambaye MUNGU alikuletea ulimwagia maji usoni,ulimtusi alipokuomba mfahamiane,ulichana kadi alizokutumia,ulimpotezea salamu yake,mwisho wa siku akarudisha ripoti kwa MUNGU kuwa uliyenituma kwake anataka mwanaume anayepanga yeye na sio wa kutoka kwako.Sasa leo unalalamika unalalamika nini na kuyataka ulitaka mwenyewe?!MUNGU awafunue macho mbwembwe za kitoto ziishie ukiwa na miaka 17 ukisha timiza miaka18 kuendelea achana na ngebe waone wanaume kama marafiki haita kupa shida kumpata mwanaume wa kukuoa.Demu wangu ni bomba kweli(sijisifii jamani ni ukweli) siku nimekutana naye (miaka 7 iliyopita) sikupewa hata chembe ya dharau,nilimsimamisha akasimama akanipa tabasamu,nikamuomba namba ya simu,akanipa na kuniomba kuendelea na safari yake coz alikuwa anamsindikiza binamu yake kuelekea kituo cha daladala.Siku iliyofuata nikamuomba aje home tupige lunch pamoja akaitikia wito tukaanza urafiki wa karibu hadi tulipo anza uhusiano rasmi few months later.Washkaji kitaa walikuwa wanamuhofia coz alikuwa ni wa ukwelii sana na ngozi yake ya kishombeshombe plus ni geti kali na alikuwa hana hata mwezi hapo kitaa tokea aje dar.Hadi sasa ninavyowaandikia still she's my girl and masista duh nawatazamaga tu kuwaonea huruma kuwa hzo dharau zitakuja kuwafanya wajane bila kufiwa na mwanaume coz mnadharau hadi watu wanowapenda kutoka moyoni kisa makalio,au sura na maumbile mazuri.My baby ni mzuri sana na wala hakunifanyia dharau 1st time namuona hadi mama ananiuliza nilimpata wapi msichana mrembo vile.
Jambo ambalo hawajui ni kuwa watu wengi wenye mambo safi hawakuanza hivyo, walitengenezana. Wakati kikwete anamchumbia mama salma, kikwete hakuwa hakuwa hata waziri alikuwa mfanyakazi wa chama, lindi huko sijui mtwara..., same thing applies to many of us, sasa hivi hatuna kitu but we have potential ya kuwa kitu miaka kadhaa ijayo.
sasa hawa wadada wanaochagua wanataka kitu ambacho hawajui kuwa kinaundwa, haukikuti kama kilivyo. Matokeo yake sisi tunaoa "wenzetu", tunahangaika nao, halafu baada ya miaka kadhaa tukishatoka ndio wale mademu wanatuona tunafaa kuwa michepuko na mababy daddy!
Hii mambo ya kuangalia uwezo badala ya potential matokeo yake ndio mademu wanakimbilia kuolewa na watoto wa kishua ambao kila kitu wamewezeshwa na familia zao. matokeo yake ndani ya ndoa ndio demu anashtukia jamaa ana tabia za kisadistic kama jeff sibeko (kwa wadau wa isidingo), au ndio unakuta wewe umefuata mali, lakini kuzitumia mpaka jamaa aombe ushauri kwa "mommy"!
cc: lara 1
Why buying the whole cow if you can get milk peke yake.... Sababu sio kua wanawake wamekua demanding au tabia au sijui nini...lets be honest..nowdays...kijana anaweza kupata kila kinachopatikana kwenye Ndoa akiwa bado single.... sex,romance,etc.. sasa ndoa ya nini/
hao wanawake demanding hata zamani walikuepo...tofauti kubwa kati ya miaka ya zamani na sasa ivi..ni kuwa sex imekua soooo cheap...you can get it anywhere..tena sometimes for free na manjonjo kibao. ukweli ni kua ...miaka 10 inayokuja...ukiskia mtu anaoa...utakua unashangaa...maana kitakua kitu nadra sana..Binafsi sijaoa wala sitamani/sina plan ya kuoa...i think being single is cool...kwa miaka ya sasa ivi...its the best less stressful life..im talking from expirience.
ha ha ha ha ha! but you are not a LIONESS!! just a lady, a human being, so drive with care!!Umegonga ikuluuuuu!
THE LIONESS PHILOSOPHY! NO MATTER THE ECONOMIC STATE OF THE JUNGLE I WILL NEVER EAT GRASS!
SASA MNAANZA MAISHA YA UNYUMBA. 14,150,000 poorer.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/198968-gharama-za-harusi-kwa-bwana-harusi.html
NA MIMI NNA SEMA KWA GHARAMA ZOTE HIZO PLUS LIFE LA KIBONGO KUNA KUOA HAPO????