Wanawake wanataka ndoa hawapati, ni kweli hamna waoaji?

Wanawake wanataka ndoa hawapati, ni kweli hamna waoaji?

Hahaha nimecheka especially hapo kwa mama mkwe ulivyodescribe....kwaio wanaume mnachunguza mpaka familia...hata sis tunachunguza hivohivo na ndo maana hakuna waoaji......

tehetehe wengi mnaangaliaa vijisenti ndo maana mnapotea njia usingeolewa na mtu ambaye baba yaka anachana na kila mwanamke anayemuoa halafu yuko single at age of 60 halafu ukimsalimia shikamo kibabu kinajibu jambo mrembo,mara kijiite mzee kijana,unategemea nini kwa mwanae.Halafu
Ndoa iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
 
Hahahah...hao wababu hawanaga stress ujue..pesa anazo watoto anao...anahitaj tu kuitwa baby na ye ajione yupo juu bado...game kidg anahema huitaji manjonjo mengi asije kufia na pressure kifuani....vibabu raha sanaa...hihihi
 
ukiona kibabu kiko hivyo uje uolewe na mwanaye utajua kilichobinua mkia wa mbwa kwenda juuu na kujikunja.
 
Me sielewi watu wanaposema Sex imekuwa so Cheap sasa kuliko zamani...Me najua Sex imekuwa so expensive...Coz zamani walikuwa wanaweza toa sex bila hata kuhongwa..

Why buying the whole cow if you can get milk peke yake.... Sababu sio kua wanawake wamekua demanding au tabia au sijui nini...lets be honest..nowdays...kijana anaweza kupata kila kinachopatikana kwenye Ndoa akiwa bado single.... sex,romance,etc.. sasa ndoa ya nini/

hao wanawake demanding hata zamani walikuepo...tofauti kubwa kati ya miaka ya zamani na sasa ivi..ni kuwa sex imekua soooo cheap...you can get it anywhere..tena sometimes for free na manjonjo kibao. ukweli ni kua ...miaka 10 inayokuja...ukiskia mtu anaoa...utakua unashangaa...maana kitakua kitu nadra sana..Binafsi sijaoa wala sitamani/sina plan ya kuoa...i think being single is cool...kwa miaka ya sasa ivi...its the best less stressful life..im talking from expirience.
 
Me sielewi watu wanaposema Sex imekuwa so Cheap sasa kuliko zamani...Me najua Sex imekuwa so expensive...Coz zamani walikuwa wanaweza toa sex bila hata kuhongwa..

haha yani we ndo unaongea kinyume au labda ngoja nikueleweshe..zamani kumtongoza msichana ulikua unamfuata muda mrefu..unaruka fensi..unamsubiri dukani.. hadi uje umvue nguo ndo kabisaa....tena pengine hutaweza hadi uoe/ zamani (sina miaka mingi sana lakini nakumbuka) nilikua nikisikia mume au mke wa flani ana toka nje ya ndoa ilikua ni skendo, bikra wa wasichana ilikua ni pride,makahaba walikua wanajificha..maana lilikua suala zito kwenye jamii...stori za ushoga tulikua tunazisikia ulaya etc

sasa hivi..hakuna haja ya kumtongoza mschana muda mrefu..sms mbili au tatu tu..na ukishaonesha uwezo wa kumuhudumia tu bhas, sasa ivi unaweza kumwambia mwanamke kua una ndoa na mke na watoto na bado akakubali kua mchepuko wako, biashara ya ngono inafanyika hadi mchana..na kuna waliopanga/kujenga nyumba special kabisa kwa shughuli hii, bikra is not a big deal anymore...hata mwanaume akifunga ndoa na akikuta mkewe sio bikra hakuna tabu,wanawake wanashindana na mashoga ..maana mashoga nao wanadai haki zao..na wanalisimamia hilo kidete..which means..wanaume rijali na husband material wanazidi kua adimu,vizuia mimba kibao na vya kila aina..etc siwezi kueleza yote.
Think outside the box! broad your mind.....one additional point...wadada siku izi wanatembea nusu uchi...na hata magazeti yana chapisha picha ..wanaeka kibox cheusi tu kwenye nyeti..which to me..it doesnt make sense..ni kama tu hawajafunika kitu
 
Ni kwa sababu hatujifunzi kulea wanaume bora kwa wanawake wa sasa na wanawake wa Siku hizi fikirieni juu ya watoto wenu wa kiume, na kuona kuwa wao ndo waowaji wa kesho,
Hvyo wataitaji baba kwa ajili ya kuwa coach wao kuwa waume bora zaidi kwa wake zao.
Wanawake wajue jinsi ya kuishi na waume zao pia na wawe wake bora kwa waume zao ili hili suala la kuoa au kutokuolewa liishe.
 
si wanadai bora kulia kwenye vogue xaxa ndio bado tunatafuta vogue ..ukiwa vitz hawakubali...

Sometimes ni kweli wanawake wanaji-complicate sana mpaka vijana wanaogopa kwamba kama hana mshiko anaweza kuja kunyang'anywa mke, kwa hiyo vijana wana-hit and run, na ni kweli kabisa kwamba wanawake wengi wamezaa bila kuolewa. Halafu pia kwa idadi wanawake ni wengi zaidi na sio dini zote zinaruhusu mitala.
 
Mkuu ulifanya research au ni sensa ilibainisha?

Nadhani swala sio tu kutupia lawama kundi fulani, kuna mabadiliko ya kiuchumi (gharama za maisha), kisiasa (utungaji wa sera na maridhiano ya kimataifa - mfano matumizi ya vidhibiti mimba), muingiliano wa tamaduni (Maadili kumomonyoka) kupanuka kwa maarifa (Muda wa kuwa masomini, utandawazi) na ongezeko la idadi ya watu (wakiwemo ambao sio matokeo ya ndoa). Hizi zote ni sababu za watu kushindwa kuishi maisha ya ndoa.

Ni wachache wanaoweza kukimbizana na umri katika kuvuka vyote hivi. Hapo ndio neema ya Mungu huitajika.
Big up
 
Marriage is for broke ppo,rich people nw days dont go for marriage thing..
 
Nionavyo mimi, uchaguzi umekuwa mwingi. Zamani wanawake wengi walikuwa wale wenzangu na mimi, kwa hiyo hata vigezo vya mume vinakuwa vya kawaida.

Jamani tunataka hatutaki status za wanawake siku hizi ziko juu. Sasa kuja kumpata mwanaume anayeendana na status yako inakuwa ngumu kidogo.
Wanaume wa kuoa wapo tena wengi tu ila tatizo viwango vyao unakuta viko chini.
Kitu kingine confidence ya wanaume siku hizi iko chini, kuoa mke mwenye status fulani wanaogopa. Ndio maana wengi wanakimbilia kwenye one night stand au F4 na waalimu wa shule za msingi.
 
Why buying the whole cow if you can get milk peke yake.... Sababu sio kua wanawake wamekua demanding au tabia au sijui nini...lets be honest..nowdays...kijana anaweza kupata kila kinachopatikana kwenye Ndoa akiwa bado single.... sex,romance,etc.. sasa ndoa ya nini/

hao wanawake demanding hata zamani walikuepo...tofauti kubwa kati ya miaka ya zamani na sasa ivi..ni kuwa sex imekua soooo cheap...you can get it anywhere..tena sometimes for free na manjonjo kibao. ukweli ni kua ...miaka 10 inayokuja...ukiskia mtu anaoa...utakua unashangaa...maana kitakua kitu nadra sana..Binafsi sijaoa wala sitamani/sina plan ya kuoa...i think being single is cool...kwa miaka ya sasa ivi...its the best less stressful life..im talking from expirience.

Mie natia mimba tu.
 
kuoa mke mwenye status fulani wanaogopa. Ndio maana wengi wanakimbilia kwenye one night stand au F4 na waalimu wa shule za msingi.

Unamaanisha wanawake walimu wa msingi kama mama salma hawana status??
 
Back
Top Bottom