Wanawake wanataka ndoa hawapati, ni kweli hamna waoaji?

Wanawake wanataka ndoa hawapati, ni kweli hamna waoaji?

noooooo simtuuumii nimeshamchumbia tayari tunajipanga kufanya maisha kwanza,ndoa mipango ya maisha sherehe ni mbwembwe but daah goma langu siliachi hata kidogo waukweli kichizi na tunaelewana balaa na bby wangu.Its forever.

Duh Umemsifia sana natamani nimuone.... Nimwambie anavyopendwa..
 
ImageUploadedByJamiiForums1409690271.004249.jpg

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
kila upanda wanalaumu mwingine,lakini wakuolewa na kuoa wapo,isipokuwa njia zitumikazo kutafuta ndio zinakosewa, huwezi kwenda shamba ya mpungu kuchukua mahindi.tukiibadilisha njia mbona wapo sana tu.
 
Ukikutana na mwanamke siku hizi anakuuliza maswali haya; baby au driving? Baby umejenga? Baby una masters? Baby utaninunulia Gari na iphone5? Baby nipeleke dinner Serena,. Ndio hiki kinachiwafanya wanawake wengi wabaki kuwa manungayembe

duuuuuh
 
Last edited by a moderator:
siku hizi hakuna mtu anayehangaika na kutongotha! Walah maisha magumu watu wanasaka ngawiro sema pia wengi unakuta ni shindikanaa!! Samanini kama kuna aliyeguthwa.

Hahahaha, naona ujumbe wako una mafua
 
Mzee Fikiraduni

Nashukuru kwa kunikaribisha Mzee. Hizo sehemu nyingine ni zipi mbona sizioni? Hata hivyo, karibu sana Hapa Manzese kwa Mfuga Mbwa tupate Supu ya Mawe.

hiyo ni data ya dunia nzima mkuu. takwimu ya vizazi
 
Kubaliana na mimi usikubaliane na mimi ....thats the truth...and it will remain to be/ your opinion doesnt change a thing.
Sijui ukweli unaupimaje kwa tafisiri yako, ila kama uliaminishwa unavyo amini sasa kwamba kila kitu ndani ya ndoa waweza kukipata nje ya ndoa mmh itakuwa ngumu sana kuona upande wa pili wa shilingi.

Labda anza kwa kujiuliza nini maana ya ndoa na nini faida zake, lakini ukibaki ndani yabox hili ulilomo itakuchukua maisha yako yote kutothamini hii taasisi. Ni zaidi ya ulivyo itazama... ntakupa mfano mdogo sana nje ya ndoa nzuri utawezaje kuwakuza watoto kwa maadili ya wana ndoa?

Au wewe kwako ndoa ni kupiga papuchi 24/7 kuitwa baby na kukandwa mgongo?
 
Tatizo ba baadhi ya wanaume wengine wanajigeuza wanawake so wanaooa wachache wasiooa wengi. Ukishakuwa shoga utaoaje? umeongeza idadi ya wanawake

UOTE=tanganyikanised;10497188]Asante mkuu

Sent from my iPad Air using JamiiForums[/QUOTE]
 
Tatizo ba baadhi ya wanaume wengine wanajigeuza wanawake so wanaooa wachache wasiooa wengi. Ukishakuwa shoga utaoaje? umeongeza idadi ya wanawake

UOTE=tanganyikanised;10497188]Asante mkuu

Sent from my iPad Air using JamiiForums
[/QUOTE]

Hilo nalo neno
 
Unaposema wanaume wachache sana unatumia sample ipi?? Umeenda hadi wapi kuwatafuta na kuwakosa??

Kwahiyo umeamua kutokuolewa??
Sijawahi kukutana na mwanaume....nakutana na wavulana tu
 
Sijawahi kukutana na mwanaume....nakutana na wavulana tu

Labda ujichunguze kwanza. Yaweza tatizo likawa wewe. Kwa nini ukutane na wavulana tu na sio vidume waliokamilika?

Hata hivyo you can mould a boy into a man of your dreams.
 
Sijui ukweli unaupimaje kwa tafisiri yako, ila kama uliaminishwa unavyo amini sasa kwamba kila kitu ndani ya ndoa waweza kukipata nje ya ndoa mmh itakuwa ngumu sana kuona upande wa pili wa shilingi.

Labda anza kwa kujiuliza nini maana ya ndoa na nini faida zake, lakini ukibaki ndani yabox hili ulilomo itakuchukua maisha yako yote kutothamini hii taasisi. Ni zaidi ya ulivyo itazama... ntakupa mfano mdogo sana nje ya ndoa nzuri utawezaje kuwakuza watoto kwa maadili ya wana ndoa?

Au wewe kwako ndoa ni kupiga papuchi 24/7 kuitwa baby na kukandwa mgongo?

Wako watoto wengi tu waliolelewa kwenye Ndoa lakini hawana maadili na wamepotoka...aidha wako watoto wengi waliolelewa nje ya ndoa na wana maadili mazuri na wanajiheshimu.. your argument kuhusu ndoa na watoto is invalid..nadhani utakubaliana na mimi

Naiheshimu Ndoa na Najua ina faida zake ila kwa miaka ya sasa...lazima tukubaliane kua ndoa imepoteza uzito na imekua mwiba mkali. Wanawake wanataka kuwa na haki sawa kama wanaume...ninavosema haki sawa nielewe vizuri....HAKI SAWA yani ..wewe kama mwanaume unachohisi unataka kufanya au unaweza kufanya...mwanamke nae ana strive kufika hatua hiyo...Hakuna Ndoa ya namna hii..hakuna relationship ya staili hii....
kwa uelewa wangu: Ndoa is all about denying one's pride..its all about sacrificing my ego for someone else.now one question..do you see this coming miaka ya mbele? ilihali...wa dada wa siku hizi akishapata tu degree..au masters au akishika ela...anajiona beberu..anaona ulimwengu mzima no one can tell her anything.this is what im talking about...
Hapo kwenye red: hahaha si kweli..sio mtazamo wangu..naelewa kua ndoa ni zaidi ya hilo...ila sasa kama badala ya kupata msadizi katika maisha(ambalo nadhani ndo lengo la ndoa) unapata mtu anaekupa ugonjwa wa moyo,anakupa mawazo na stress,huzuni,aliekosa uaminifu..then ...i'll pass
#Proudly Single and Happy.
 
Labda ujichunguze kwanza. Yaweza tatizo likawa wewe. Kwa nini ukutane na wavulana tu na sio vidume waliokamilika?

Hata hivyo you can mould a boy into a man of your dreams.

Mould a boy into a man? vipi kama zoezi langu halitafanikiwa? wala sipimi kina cha maji kwa miguu mimi?
 
Back
Top Bottom