Kama faida ya kuoa ni mpaka mtu augue basi kuoa/kuolewa hakuna faida. Maana ni mara nyingi tumeshuhudia wake/waume wakiwakimbia wenza wao pindi wanapokuwa wagonjwa. Hasa magonjwa yanadumu.
Tusidanganyane faida ya ndoa ni kugegedana tu. Na umuhimu wa ndoa umetoweka baada ya mgegedo kuzagaa nje ya ndoa. Hakuna raha, faida ama umuhimu wa ndoa zaidi ya kugegedana. Mengine ni ziada sana na yaweza kufanywa na wafanyakazi wa ndani.
MENTION=45940]bonna[/MENTION] tumekusoma naomba nikusaidie kitu,maisha ya single ni mazuri for sure lakini mwafrika bila familia kiheshima huna tofauti na beberu namaanisha mbuzi dume,ambaye anamega sana lakini mwisho wa siku hawezi pkukuonyesha mwanae hata mmoja,lkn kitu kinaitwa kumega majike anafahamu style zote.
sasa na wewe usimuige mbuzi ,wapo wanawake waadilifu katikati ya makanjanja kama ilivyo kwa wanaume tafuta mmojawapo oa.Nasikitika kwamba wengi hamjaonja maisha ya kuwa na mke wako,kuna uhitaji ambao mke wako anakusaidia na sio wadada poa,chukulia mfano ukiumwa mke ni ndugu yako wa karibu anaweza hata kukuogesha,
Kama mtu hajihurumii basi ahurumie ndugu zake watakaolazimika kumuogesha mtu mzima akiwa mgonjwa wakati ulitakiwa uhudumiwe na mke wako.[/QUOTE]