Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 759
Si kweli.
Wadada wengi huwatosa waoaji na kukumbilia kwa wajifunzao u-player.
Nawashauri...wadada punguzeni tamaa.Hakuna short-cut ya kuhongwa bure...kwani akuhongae hana ndugu wa kuwapa akupavyo ambao watamkumbuka hata kwenye sala...i hate this tabia kweli.