Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,320
Naaaam kesho eid tatuHivi kesho sikukuu inaendelea??
Naaaam kesho eid tatuHivi kesho sikukuu inaendelea??
You too ma dia atoto sleep tightHahahaaaaa!! G9t dear.
Ooooh mi nipo nimejaa ka pishi la ubweche. We uko busy
Nakuja usijaliyah..siyo sana!! njoo basi.
If so basi I guess na wewe utakua shoga
Huyo Masai dada wamasai wenzio wako bize kuchoma kadi za chama cha kijani wewe unatukana humu, rudi monduli kwenu
Wapo wanawake humu JF ni kiboko,Wana midomo yenye shobo hatari,Tena kwenye jukwaa la MMU na JLW ndio balaah.
Na hawa wafuatao ndio wanawake wenye kutumia maneno yasiokuwa na sitaha JF
1. Madame B
2. masai dada
3. Evelyn Salt
4. Jestkilla
Kama wapo wengine wabandike hapa wajijuwe kwa kuchafua hali ya hewa.
Namba moja ni ukweli mtupu.
Kama hupendi wanachokikomenti saga chupa umeze. Get a life
Sio kweli, thibitisha
Sasa mkuu mimi nilitaka ku-edit comment yangu wewe umei-quote haraka hujui kuwa mwenyewe akiiona atanitukana?