Wanawake wanaoongoza kwa lugha JF

Wanawake wanaoongoza kwa lugha JF

huyo jamaa ni shogga nina pm zake lukuki kwa id yake flani mods waka imarge ni mshenzi hatari anatongoza alafu ni mshamba tu wa huko mtwara sasa akikataliwa ndo anakuja speed kama kifaru jike

whaaaaaat!!! hii ni zaidi ya exposure!! Mtwara kwetuuuu..
 
Kiongozi, wala hatutaki kujua kuwa huwa mnaongea huko inbox. Hayo ni mambo yenu na yabaki private...

Aiseeee.....
Kumbe jf sheria hairuhusu!
Asante kwa kuning'ata sijui Eli79
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi, wala hatutaki kujua kuwa huwa mnaongea huko inbox. Hayo ni mambo yenu na yabaki private...

mpwa! mambo vipi? naona kijana wako kaamua kuingia ligi na wadada hapo juu..
aisee..
mmoja hapo ni rafiki yangu aisee!!
 
mpwa! mambo vipi? naona kijana wako kaamua kuingia ligi na wadada hapo juu..

aisee..

mmoja hapo ni rafiki yangu aisee!!

Ujana una mambo mpwa! Wanataka tusome habari za inbox ili iweje, au tujue kuwa wanaandikia huko inbox ili iweje...
 
Ujana una mambo mpwa! Wanataka tusome habari za inbox ili iweje, au tujue kuwa wanaandikia huko inbox ili iweje...

naona unaweka mambo sawa...
sawa mpwa!! set tu..
ngoja niongee kidogo na huyu Diva.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom