Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,670
- 167,724
Niongee mie aibu uone wewe makubwa, mie sio mtoto wa kike ni mwanamkeJaman ni vizuri mkajiheshimu, ni aibu sana kwa kauli zenu mnazo zitoa tena watoto wa kike. Evelyn, masai dada na wengineo 2mien busara zenu, ila samahan kama nitakuwa nimewaboa but ni ushauri wangu kwenu!!