MAJUKWAA zaidi ya 42 na watumiaji wake JF

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,288
2,000
Wakuu poleni na majukumu ya kazi, huwa kiukweli jf ni moja ya mitandao ya kijamii ninaoutumia zaidi kwa sasa kuliko hata hiyo wanayoiita ni ya dunia ya kwanza.

Kuna kitu mimi kimekuwa kikinivutia sana hapa JF na si kingine ni misimamo ya watumiaji JF kama tujuwavyo kuna majukwaa yapatayo 42 kama nitakuwa sijakosea yapo yale yalio maarufu na pia kuna yasio maarufu.

Kinachonifurahisha ni baadhi ya misimamo ya watumiaji wa majukwaa haya wengine toka kuwajuwa wamefunga ndoa na jukwaa moja tu kwa mfano nitajitahidi kuweka baadhi ya watu na misimamo yao kwenye majukwaa hayo.

MFANO JUKWAA LA SIASA

MSALANI Yericko Nyerere Ben Saanane ifweero @a4 na wengine wengi tu watu hawa wamefunga ndoa na jukwaa hili na nivigumu sana kuwakuta jukwaa jingine wao kutwa nzima wanauwana na siasa tu wapo wengine ka mimi huwa naingia kusaidia mapambano tu.

JUKWAA LA MMU

mshana jr charminglady Heaven on Earth ICHANA farkhina masai dada lara 1@lady furahia Dinazarde Eiyer Preta Karucee na wengine kibao jukwaa hili ni ndoa yao huwa pia napita kuonaga tu!

WATU WA MAJUKWAA YOTE

sungura1980 MziziMkavu Mr Rocky Rich Pol na mimi hapa ndio kwangu Kibo10 na wengine viherehere kila jukwaa tubaonekana

JUKWAA LA KIKUBWA

grafani11
Bantu lady funzadume Madame B gwijimimi Mtamile a.rahabu na wengine humu kuna mauwaji ya ajabu nilimfuma madame b anataka watu wa kumfiiiiii tena anata wanaume wawili nikakimbia.

JUKWAA LA PICHA

utafiti
kabanga KAJICHO KIVULI na wengine wengi ila hawa watu huwakosi hapo kutwa wapo tu pia napitaga kuchungulia
Ebu kwa pamoja najuwa wapo wengi sikuweza kuwataja wote tuweke majina ya wana jf wa majukwaa yao nao watakuja kutueleza kwa nini wamefunga ndoa na majukwaa hayo.

Au kwanini wanaangaika kila maali wapo?

Nawashilisha
 

thinky

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
2,121
0
are you psycologists or what ,kufunga ndoa na mtandao ni mental addiction which need a serious capsule to balance a real life system
 

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
14,048
2,000
hahahjahahah Mmu hadi Ritz anaingiaga mara kibao na anachangia chezea MALOVEE YANARUN DUNIA
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom