Wanawake wanaoongoza kwa lugha JF

Wanawake wanaoongoza kwa lugha JF

Unaelewa tofauti ya ulichoandika na uhalisia wa post niliyokwot? Kumuita mtu malaya au kahaba ni uwe either umefanya nae ukahaba au unaiona site kila siku akiufanya ukahaba. Sasa huyu kaja hapa..je anafahamu true identities za hao anaowataja.

Basi hukuelewa umejibu nini au hukuelewa unajibu nini, tuachane nayo hayo, hayana maana by the way.
 
naona unaweka mambo sawa...

sawa mpwa!! set tu..

ngoja niongee kidogo na huyu Diva.

Uongee nae kwa habari gani mpwa? Hivi shansarie akipita humu akaona umekaa chemba na Diva si umekwisha wewe..teh!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa my ex mbona hili umelivalia njuga sana? Unaogopa zitawekwa zako nn!!

Ex wangu kipenzi hawa wanataka ndoa zetu zife, zile screenshots ukizitupia hapa si nimekwisha kweli..
 
Akakate kwanza kigovindraaaaa ndo atakubaliwa, naona huko matundu yote ya mwili wake yanahema tu
akuje aseme maneno makali ndo yapi

Kwahiyo yeye ni nani humu jf apite kuangalia wenye lugha sijui ipi? Eti nilikuona mahali na lugha gani sijui!! Huyu mwanaume kweli!!! Dude beta get a life kwakweli.
 
Ex wangu kipenzi hawa wanataka ndoa zetu zife, zile screenshots ukizitupia hapa si nimekwisha kweli..

Daaaah wewe zako hata wazo halipo yaani siwezi hata kufikiria kuziweka, napenda tu nizisome mwenyewe najisikia burudaniiiii!!
 
Kwahiyo yeye ni nani humu jf apite kuangalia wenye lugha sijui ipi? Eti nilikuona mahali na lugha gani sijui!! Huyu mwanaume kweli!!! Dude beta get a life kwakweli.
Mwanaume atakua yeye, huyu atakua anapandwa tu kama mie....
 
Kiongozi ushawapitia wote hao??

Huhitaji kumpitia mtu ili kujua kama ni kahaba au la. Hata kama tunatumia majina ya uongo hayaondoi ukweli na uhalisia wetu wa ndani. wala huhitaji kua msomi wa kiwango cha juu sana kujua hilo.

fbi na wenzao cia wanafanya online identiy tracking na kujua mmagaidi, sio kwamba wanawajua physically bali kwa maandiko yao mitandaoni.

ukienda jukwaa la siasa bila kumjua mtu ukisoma post zake kadhaa hata bila ya yeye kutaja affiliation yake ya cchama ila utajua huyu ni ukawa na huyu ni ccm. tunaweza kuficha majina yetu ila hatuwezi kuficha our inner being and our feelings.
 
Daaaah wewe zako hata wazo halipo yaani siwezi hata kufikiria kuziweka, napenda tu nizisome mwenyewe najisikia burudaniiiii!!

ngoja niachishwe kazi..haya sitayasema kabisa!!
 
Alaah kumbe...lakini pengine ni wapole tu hawako hivyo unavyofikiria mkuu.
 
Uongee nae kwa habari gani mpwa? Hivi shansarie akipita humu akaona umekaa chemba na Diva si umekwisha wewe..teh!

ushaharibu mpwa!! aisee ngoja nsepe kipande hii..
ila mantein hii kitu bana!!
Sijajua bwana Kibo alimaanisha kitu gani hapo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom