Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,737
- 5,804
Habarini,
Nimewaza hali ya uchumi ilivyo, na tabia ya wanawake kupiga mizinga kila mwanaume anaewatongoza.
Najiuliza, mwanaume gani ataombwa hela siku chache baada ya kutongoza, halafu aweke kambi kwa huyo dada? Sana sana ama akiombwa hela mara ya kwanza atakimbia, au atahonga mara ya kwanza, ya pili ya tatu, baada ya hapo, awe amekula mzigo au hajala, anakimbia.
Nimewaza kwa sauti.