Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,967
Kwahyo wanawake wote wana msululu wa wanaume...aiseNa hawajuani.
Kwahyo wanawake wote wana msululu wa wanaume...aiseNa hawajuani.
- Hapana sio kweli, Ni baadhi wenye hizo tabia.Kwahyo wanawake wote wana msululu wa wanaume...aise
99.9%Kwahiyo wewe kwa mawazo yako wanawake wote wenye biashara wana ma sponsor??
Una akili mgando pole sana..!!99.9%
Uongo,huo ni uongo mkuu... asilimia umeweka nyingi sana... punguza99.9%
Comment yake inaonyesha alivyo na stress nyingi..!! 😹Uongo,huo ni uongo mkuu... asilimia umeweka nyingi sana... punguza
Au kaliwa sana pesaComment yake inaonyesha alivyo na stress nyingi..!! 😹
Unataka kutudanganya hapa unaweza kuendesha biashara bila sponsor 😂😂Una akili mgando pole sana..!!
Kashakutana na mabinti sayuni wamempleka kondeni kumvunisha shayiri 😹😹Au kaliwa sana pesa
🤣🤣🤣Wamemvusha kaanani from misri...amepita Mto JordanKashakutana na mabinti sayuni wamempleka kondeni kumvunisha shayiri 😹😹
Naendesha vizuri bila wasiwasi na wala hakuna sposor yoyote..!!Unataka kutudanganya hapa unaweza kuendesha biashara bila sponsor 😂😂
Kateseka sana 😹🤣🤣🤣Wamemvusha kaanani from misri...amepita Mto Jordan
🤣🤣🤣Tena bila fimbo ya Mussa...katembea juu ya maji akazama kama Yona akamezwa na samaki ashukuru alitemwa...kapitia kweli aiseeKateseka sana 😹
sawa basi maana sikufahamu na sijui ukubwa wa biashara yakoNaendesha vizuri bila wasiwasi na wala hakuna sposor yoyote..!!
True wewe unahangaika hela ya lunch mwanamke analipiwa, unahangaika na Hela ya kodi kiuno kimoja tu kinalipia kodi ya mwaka mzimaUongo.
Wanawake wanaendeshewa biashara na wanaume..
Wanalipiwa pango, kodi tra, wanajaziwa bidhaa dukani, wanapewa usafiri na hela ya lunch..
Ukiona mwanamke ana biashara nyuma Kuna kundi la wanaume
Stress za niniComment yake inaonyesha alivyo na stress nyingi..!! 😹
Hakuna urahisi ni vile nini umeamua kufanya na kukipigania..!!sawa basi maana sikufahamu na sijui ukubwa wa biashara yako
ila lazima kuna Urahisi fulani unapata/ulipata tofauti na wanaume kwenye biashara