Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,599
- 171,480
Nmefungua nikajua nitakutana na fact wapi tunakosea tujirekebishe kumbe ni mtazamo binafsi 🙄
Mbona ni hesabu ndogo sana hiyo mkuu unashindwa kuliona.Kwahiyo wewe kwa mawazo yako wanawake wote wenye biashara wana ma sponsor??
Umeongea pumba mkuu…Mbona ni hesabu ndogo sana hiyo mkuu unashindwa kuliona.
Asili ya biashara ni ubahili na kuumiza kichwa ndio biashara inakuwa na mafanikio.
Hakuna biashara utafanya halafu uwe unatumia pesa hovyo kwa show off kisha iendelee kukua na kuendelea kuexist miaka yote ndio maana ukaambiwa kuna Masponsor wao nyuma yake.
Na hata huko China wanakoenda kuna mambo yao ya siri huwa yanafanyika huko kisha wanarudi na mzigo.
Biashara haijawahi kuwa rahisi hivyo
Wewe kwa jinsi unavyowakingia kifua naanza kukutilia mashaka mkuu.Umeongea pumba mkuu…
Kundi la kula Nyapu😂😂Uongo.
Wanawake wanaendeshewa biashara na wanaume..
Wanalipiwa pango, kodi tra, wanajaziwa bidhaa dukani, wanapewa usafiri na hela ya lunch..
Ukiona mwanamke ana biashara nyuma Kuna kundi la wanaume
Sio nawakingia kifua, mimi mwenyewe ni mwanamke na nafanya biashara hivyo vitu unavyoviongea havipo..!! Hao unaowasema wachache usituweke wanawake wote kundi moja..!!Wewe kwa jinsi unavyowakingia kifua naanza kukutilia mashaka mkuu.
Ukisafiri kwenda China au Dubai utaona mambo yanayofanyika huko kisha uataelewa kinachoongelewa kwenye uzi huu.
Na mbona kuna wengine huwa wanagombana live mitandaoni wanagombea mabwana zao Masponsor huonagi?
Sio nawakingia kifua, mimi mwenyewe ni mwanamke na nafanya biashara hivyo vitu unavyoviongea havipo..!! Hao unaowasema wachache usituweke wanawake wote kundi moja..!!
Hivi wale wanaume wanaoingiliwa na wanaume wenzao na wamefunguliwa biashara na mabasha zao je, tunaweza kusema kwamba wanaume wote wanaofanya biashara ni mapunga? Na sababu ya biashara zao ni wametoa visusuio vyao? Acha zako Mxieeeeww..!!
Hatusemi wote,wapo wachache pia wanaojitambua na kufuata kanuni za biashara kama inavyotakiwa huenda na wewe ukawa miongoni mwa hao wachache wanaofanya kihalali kwa hiyo usijihisi kama umetajwa na wewe kama una uhakika na uhalali wa ufanyaji wako.Sio nawakingia kifua, mimi mwenyewe ni mwanamke na nafanya biashara hivyo vitu unavyoviongea havipo..!! Hao unaowasema wachache usituweke wanawake wote kundi moja..!!
Hivi wale wanaume wanaoingiliwa na wanaume wenzao na wamefunguliwa biashara na mabasha zao je, tunaweza kusema kwamba wanaume wote wanaofanya biashara ni mapunga? Na sababu ya biashara zao ni wametoa visusuio vyao? Acha zako Mxieeeeww..!!