Wanawake wanakuja juu kwenye Biashara ila wanafeli Hapa

Wanawake wanakuja juu kwenye Biashara ila wanafeli Hapa

Multi-skilled

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
1,107
Reaction score
4,128
Miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuja juu sana kwenye Biashara nimeshangaa mpaka ilala madada wanauza Autoparts ni jambo jema sababu wanatafuta namna ya kuchangia kwenye familia na kujiwezesha kiuchumi ila kuna changamoto zitafanya kamwe wanawake wasitoboe kwenye business tofauti na wanaume

1. Wivu (wivu kati ya wanawake na wanawake hii inapelekea mpaka wanaharibiana biashara big time eg niffer vs resty vs fahyvanny) Ushindani wenye wivu wa wazi hautawafikisha popote

2. Un-natural selling, kutumia nguvu, kupaza sauti na kutumia maumbile yao na uzuri kuuza bidhaa badala ya professionalism ambayo inahusisha kuwa informed na product na kuiwasilisha kwa wateja katika njia nzuri na sio makelele

3. Ku-FAKE uhalisia wa biashara kulala hoteli za Bei kali China, cruising dubai wakati umeenda kufuata mizigo wa milioni 10 (hakuna biashara ya hivyo)

Hayo ni machache niliyoyaona kwa dada zetu kama wakibadilika huenda tukawa na wanawake millionaires within few years.

Ni mtazamo tu
 
Attachments

  • IMG_3258.jpeg
    IMG_3258.jpeg
    36.6 KB · Views: 37
Uongo.
Wanawake wanaendeshewa biashara na wanaume..
Wanalipiwa pango, kodi tra, wanajaziwa bidhaa dukani, wanapewa usafiri na hela ya lunch..

Ukiona mwanamke ana biashara nyuma Kuna kundi la wanaume
 
Uongo.
Wanawake wanaendeshewa biashara na wanaume..
Wanalipiwa pango, kodi tra, wanajaziwa bidhaa dukani, wanapewa usafiri na hela ya lunch..

Ukiona mwanamke ana biashara nyuma Kuna kundi la wanaume
Km ni rahisi hivyo basi wanawake wote wangekuwa wafanyabiashara na wana maisha mazuri..!!!
Nwei hao wanaume wanapatikana wapi watufungulie hizo biashara mkuu??
 
Uongo.
Wanawake wanaendeshewa biashara na wanaume..
Wanalipiwa pango, kodi tra, wanajaziwa bidhaa dukani, wanapewa usafiri na hela ya lunch..

Ukiona mwanamke ana biashara nyuma Kuna kundi la wanaume
Agiza bia nakuja kulipa.
 
Hawawezi maana si wanaume wote wenye maisha mazuri.
Km ni rahisi hivyo basi wanawake wote wangekuwa wafanyabiashara na wana maisha mazuri..!!!
Nwei hao wanaume wanapatikana wapi watufungulie hizo biashara mkuu?
 
Km ni rahisi hivyo basi wanawake wote wangekuwa wafanyabiashara na wana maisha mazuri..!!!
Nwei hao wanaume wanapatikana wapi watufungulie hizo biashara mkuu??
Inategemea akili uliyo nayo ila wapo wenaume wengi sana wenyewe wanaitwa masponsor
 
Mwanamke mrembo ana vitu vingi mno vya ku offer kwenye biashara.
 
Back
Top Bottom