Wanawake Wana roho ngumu mno

Hajamaanisha vile ulivyoamini ila ukiamini ulivyoamini pia sio mbaya
 
Kwani wanawake mnapeleka posa siku hizi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
Kwani wanawake mnapeleka posa siku hizi?
 
Aliye kubadilisha dini anatokea dini ya wapenda ndoa na majini
 
Hapa ndiyo umetuambia sababu ya unyonge wako.
Kakuzidi kipato na mengineyo.
Nimeelewa kwanini ulikuwa tayari kubadili dini kwa ajili yake.
Tutafute pesa jamani.
 
Huyo hakupendi alikua anakutafutia sababu tu
 

Mwanaume Mpumbavu tu ndo analilia mwanamke Karne hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…