Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,791
- 58,403
😂😂😂😂😂😂Kichwa hichoNa hicho ndio kitakuwa chanzo cha mgogoro. Yaani mtu yupo kwa shemeji halafu anaanzisha vimahisiano vya nje. Tabia za kutoka usiku na kuchelewa kurudi zitamkwaza dada mtu