umeona eeeeeee! Asprin hubby wangu watuwacheeeeeeeee miaka 800! Hivi kumbe yule mtu ni under 30? Umenidhalilisha ujue?mautamu unayonipa usizidishe my love. Mi nshachoka kujing'ata wakati wa naniliyu. Afu mishankupe inanipakazia nakucheat kwa vi under 30. Mi nakasirikaga mimi. Khaa! Malabuku zao na nusu.
Nadhani kwa kuwa mnakuwa hamna cha kupoteza ndio maana, halafu ule muda wa kuruka ruka unakuwa ushawatupa mkono...
Wewe ni ME au KE, kuna kitu nataka kujiridhisha kabla sijaconfirm...nahisi nakujua vile!!!
mmmh! @swtlo
mada kama hii uiletage week end mweeh! sasa hapa unataka niseme nini jamani????
Unaweza ongezea machache
je sisi wa 50s
Hahahaha anakuja na wapambe 4 yeye wa 5 wapambe wanakunywa Heineken, whiendok, Savana, Mtakatifu Anna mara dear tunataka kiti moto kilo 5 na kuku wawili bila kusahau chipsi kavu sahani 5.
Hapo itakuwa ngumu ku-justify your findings.
Kama uzoefu wako umeishia kwenye 30s, umewalinganishaje hao walio kwenye 30s na wengine na kuja na hizo conclusions?
Nilisoma mahali kuwa women above 40 enjoy and have more sex but not with their husbands, though kuna wengine kama Smile wanadai bado ni mabikira
huyu ni yule yule tulie naye kidato kimoja wamjua mbona kwa sasa ame deaded ameristishwa in peace
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.
kiukweli hii mada inaukweli ndani yake,mimi ni mwanaume nimejikuta nawapenda sana 30+ na hii inatokana na na kuona utofauti na 20s,sikujuwa sababu ila nimekuja kuzijua humu JF,sasa ndo mmenikimbiza kabisa kwa kwa hao 20s,shukrani zako mtoa mada ila sitaweka hadharani faida ninazozipata toka kwa hawa 30+ napenda kuwashauri wanaume wenzangu wajaribu huko wajionee mautamu