Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Tutakosa soko, nimeshtukia mchezo wa Kaizer
Kaizer umeanalyse vizuri sana na inaweza ikawa kuna ukweli ndani yake.
Ila nashangaa kwa nini nyie 40's mnaongoza kuwataka hizo 20's pamoja na hayo yote hayo????
Ndugu yangu, hata uleje ugali, vikaranga vina nafasi yake
Japo huwezi lala kwa kula karanga tu
Tena aniwache kabisa, mie niko 30 kamili ujue?