Wanawake walioko kwenye 30s

Wanawake walioko kwenye 30s

Hahahahaaa
Ataninyima mke aisee
Mwache abaki jukwaa la matangazo tu

Kaka nawe Kama Mswati????? Chocs wataka kumwaga tena........au wewe ni above 85'?

Hapa sikubaliani na nyie....Hatutaki kwenda Bombo Hosital kutoa pole! Hivi hamna huruma na Babu zenu?
Mnataka wa-faint kwenye laptop

Yeye si anang'ang'ania kukaa na wajukuu zake.........acha tumuoneshe vikubwa vikubwa.
Kwani huyo Kongosho ndiye nani tena??

Au unazidi kudhihirisha kazi ya jani....?

Babu DC!!

Babu......... Mie Mkubwa mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Hapa umesema ukweli mtupu
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.
 
Last edited by a moderator:
Kaka nawe Kama Mswati????? Chocs wataka kumwaga tena........au wewe ni above 85'?

Yeye si anang'ang'ania kukaa na wajukuu zake.........acha tumuoneshe vikubwa vikubwa.

Babu......... Mie Mkubwa mwenzio
Hahahahahahaaaa Chocs wangu daima aisee hakuna kaka yeye kwa sasa
 
Last edited by a moderator:
Lala je....
Tuachie uwanja,
Kaka Erickb52.... Shem platozoom......... Kilikuwa kinaongelewa nini hapa?

Kinachoongelewa hapa ni kwamba Ankal Kaizer amekorofisha nyumbani kutokana na ishu ya Bi mdogo yulee wa mtaa
wa Kinondoni shamba. Sasa ili kusevu soo na kutoonekana amemvunjia heshima Bi mkubwa akaanzisha hili topiki
na kuhakikisha Bi. Mkubwa anaiona kweupee ili kumhakikishia kwamba hawezi kutekwa na vigori.

Sasa bana katikati ya mjadala si ndo kukaibuka ishu ya nani wa 30s nani wa 20s. Infwakt wapo ambao walikuwa
wana-swing kutegemea na upepo mzuri umeenda wapi.

MWISHONI hapa akazuka Babu na kumfagilia sana Bibi na hilo jinamizi la 30s. Ndo nikauliza lile shemeji langu
la ukwee ni 20s au 30s, yeye akadai anakujua ndiyo mimi nikakuita shemeji langu ili umuonjeshe ladha kutoka
Kino clan. Lakini kwa bahati mbaya ahlan wasahlan Babu katenguka ulimi ulipomuomba erickb 52 amlete kulee
chimbo kabisa!!

Sijui shem umenielewa?
 
Last edited by a moderator:
Wagosi wa Kaya, wagosi wa ndima:

Ticha: Gudimoningi class
Wanafunzi: Gudimoningii saa

Ticha: Mwinuka zeze
Wanafunzi: Mwalimu umeongea Kisambaa!

Nimechanganyikiwa mpaka naongea Kisambaa daasani
Nitakutupia mdudu Shem.
avatar10874_6.gif

Suala lilikuwa ni babu kwenda kule kwa Mambo yetu ya wabwaku!
Umeniget Madame B ?

Kule hatumtaki..........asije akatuletea Injili yake...
Abaki hukuhuku.

Hahahahahahaaaa Chocs wangu daima aisee hakuna kaka yeye kwa sasa

Sasa je............ n'litaka nishangae bwa!!!!!!
 
Nitakutupia mdudu Shem.
avatar10874_6.gif

Kule hatumtaki..........asije akatuletea Injili yake...
Abaki hukuhuku.

Sasa je............ n'litaka nishangae bwa!!!!!!
avatar10874_6.gif

Yan haka kamdudu kananishangazaga
Kunasiku nikafuta kioo cha laptop nikijua ni mdudu hahahaaa nilijicheka sana!
 
Kinachoongelewa hapa ni kwamba Ankal Kaizer amekorofisha nyumbani kutokana na ishu ya Bi mdogo yulee wa mtaa
wa Kinondoni shamba. Sasa ili kusevu soo na kutoonekana amemvunjia heshima Bi mkubwa akaanzisha hili topiki
na kuhakikisha Bi. Mkubwa anaiona kweupee ili kumhakikishia kwamba hawezi kutekwa na vigori.

Sasa bana katikati ya mjadala si ndo kukaibuka ishu ya nani wa 30s nani wa 20s. Infwakt wapo ambao walikuwa
wana-swing kutegemea na upepo mzuri umeenda wapi.

MWISHONI hapa akazuka Babu na kumfagilia sana Bibi na hilo jinamizi la 30s. Ndo nikauliza lile shemeji langu
la ukwee ni 20s au 30s, yeye akadai anakujua ndiyo mimi nikakuita shemeji langu ili umuonjeshe ladha kutoka
Kino clan. Lakini kwa bahati mbaya ahlan wasahlan Babu katenguka ulimi ulipomuomba erickb 52 amlete kulee
chimbo kabisa!!

Sijui shem umenielewa?

Nimekupata Shem platozoom.
Unajua Huyu Babu Dark City, tangu azuzuke na mimi kule TA..........kutwa nahisi ananiota mimi tu
Hii ngoma ya kikubwa.........
Sasa nae Kaka Erickb52 tangu ampate wifi Chocs..hajapeleka mahitaji nyumbani huu mwaka wa 4,
Au ndo mambo ya Kamgambile??????,........Ndani ya chupa kabatini.
 
Last edited by a moderator:
Kama wote bado mko below 30, nawashauri mchezopo chezepo kidalipo kwa miaka mingine kama 2-5 hivi...

Babu DC!!

aaaaahhhh!!!! babu maisha yenyewe mafupi watu tunataka tusogezeane huduma karibu. heshma yako babu. mjukuu amekumiss.
 
Nimekupata Shem platozoom.
Unajua Huyu Babu Dark City, tangu azuzuke na mimi kule TA..........kutwa nahisi ananiota mimi tu
Hii ngoma ya kikubwa.........
Sasa nae Kaka Erickb52 tangu ampate wifi Chocs..hajapeleka mahitaji nyumbani huu mwaka wa 4,
Au ndo mambo ya Kamgambile??????,........Ndani ya chupa kabatini.

Kwa hiyo Erick kapigwa shuntama, na nani?
 
avatar10874_6.gif

Yan haka kamdudu kananishangazaga
Kunasiku nikafuta kioo cha laptop nikijua ni mdudu hahahaaa nilijicheka sana!

Sasa wakiwa wanne je.... si ndio utapagawa?
avatar10874_6.gif
avatar10874_6.gif
avatar10874_6.gif
avatar10874_6.gif

Ningekuwa karibu ningekuchekaje??????
Ila kiukweli kanaduwaza.
 
Nimekupata Shem platozoom.
Unajua Huyu Babu Dark City, tangu azuzuke na mimi kule TA..........kutwa nahisi ananiota mimi tu
Hii ngoma ya kikubwa.........
Sasa nae Kaka Erickb52 tangu ampate wifi Chocs..hajapeleka mahitaji nyumbani huu mwaka wa 4,
Au ndo mambo ya Kamgambile??????,........Ndani ya chupa kabatini.
Ila alonifanya nisieleke ni Amyner ingawa Kipipi baada ya kutake over ndio nikawa kwenye chupa rasmi...sasa kwa Chocs sijui kama nitachomoka aisee
Yaaan Madame B mtoto ana mambo mazuri kuliko wewe!
Hahahahaaaa natania lol
 
Last edited by a moderator:
Sasa wakiwa wanne je.... si ndio utapagawa?
avatar10874_6.gif
avatar10874_6.gif
avatar10874_6.gif
avatar10874_6.gif

Ningekuwa karibu ningekuchekaje??????
Ila kiukweli kanaduwaza.

Ha ha ha.....! wewe shemeji umepinda kabisa. Afadhali ungezaliwa na kusomea hukohuko kwenu Lushoto.
Hii habari ya Kinondoni na mbuyuni imekuharibu
 
Back
Top Bottom