Wanawake walioko kwenye 30s

Wanawake walioko kwenye 30s

Ninyi hamjui na hamjajua!
Arifu mleta sredi kakorofisha kwa Ngina, tena vurugu la nguvu. Halafu kutuliza munkari katengeneza
Tasnifu yenye ukweli ndani yake, lakini ambayo inamlenga Mama Ngina in positive way.

BTW turudi kwenye topic. Hivi Madame B ni 30s au 20s? Maana hilo purukushani lake kama kigori.
Nimejionea mwenyewe
platozoom............. Mie ni mbichiiiiiiiiii.....kigoriiiiiiiiiiiii.......... nakati ya Between 20-30.
 
Last edited by a moderator:
None of the above....Kusema ukweli hata hiyo ndogo hajaifikia...

Kama kuna mtu anabisha aseme ili nimwage ushahidi..

Babu DC!!
Babu kuna kitu kimejificha kwa kauli yako...hebu nambie wewe ni member wa kule jukwaani kwetu?
Umemjuaje Madame B ?
Umesoma nae ?
Hahahahaaaa
Salamu zao TA
 
Last edited by a moderator:
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.

zaidi ni waelewa sana katika mapenzi kiasi ukimtongoza leo kesho unaenda kula mzigo. ni swala la maelewano tu.
 
Babu kuna kitu kimejificha kwa kauli yako...hebu nambie wewe ni member wa kule jukwaani kwetu?
Umemjuaje Madame B ?
Umesoma nae ?
Hahahahaaaa
Salamu zao TA

Umeanza lini tabia ya kumkosea adabu Babu?

Hivi kuna mtu ambaye hawafahamu wajukuu zake?

Babu DC!!
 
Hwakujui Madame B
Labda wanataka uwawekee na picha!

images
Haya sasa Kaka.

Urongo mtupu....20 umefika lini au na wewe unajibusti kama Mama Kanumba...lol???

Babu jamaniiii.........hutaki mkwe?????????

Babu DC!!

Umeanza lini tabia ya kumkosea adabu Babu?

Hivi kuna mtu ambaye hawafahamu wajukuu zake?

Babu DC!!

Mhhhhhh... Kongoshooooooooo....... Babu anatuita.
 
Last edited by a moderator:
Mwaga ushahidi....

Ila ujue kuwa,...ukimwaga ugali....shaurilo...

Babu DC!!

Hivi umerudia ile tabia yako ya kupuliza lile jani hadi unakuwa na haya 24/7?

Babu DC!!

Kuna watu wananimendea hivo naogopa kuwafungulia mlango Babu.

Mwacheni Babu kajichokea akalale. Mkianza kumsuta mtafanya apoteze hata ile hazina ndogo kama chembe ya haradali.
Hivi hujui wazee wanapata ile kitu kwa msimu.........Kipupwe, Masika, Kiangazi na Vuli!!!

Mwenzangu akajilalie tu.........atuache sie tukae Sebleni tucheki TV peke yetu.
 
Hahahahaaa
Ataninyima mke aisee
Mwache abaki jukwaa la matangazo tu

Hapa sikubaliani na nyie....Hatutaki kwenda Bombo Hosital kutoa pole! Hivi hamna huruma na Babu zenu?
Mnataka wa-faint kwenye laptop

Nyie sasa naona mnaendekeza mchezo wa kutoka nje ya mada...

Ngoja nimwite Kaizer kabla sijawaachia jamvi lenu..

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wananimendea hivo naogopa kuwafungulia mlango Babu.



Mwenzangu akajilalie tu.........atuache sie tukae Sebleni tucheki TV peke yetu.

Kwaherini....

Ila mkubuke kuwa Babu hataki kesi..lol!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom