Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,856
- Thread starter
- #201
Husninyo thread za Bishanga zikoje? Bishanga amenizidi kitu kimoja tu, nacho ni utajiri....yeye ni bepari mi mtu wa kawaida tu. Vingine vyote nimemzidisalamu kwanza, ama baada ya salamu naomba uniambie sababu wewe ndio mpwa mpendwa wa ankal ni kwa nini ankal analeta threads kama za Bishanga? hii ni dalili mbaya ujue cousin.
Last edited by a moderator: