Wanawake walioko kwenye 30s

Wanawake walioko kwenye 30s

Umenena ukweli mkuu...kawaida mwanamke wa 20s+ anakuwa na matarajio makubwa sana kimaisha akiutazama uzuri, elimu au chochote tofauti alichopewa, ila akifikia 30s+ anakuwa na uzoefu wa kutosha na anatamani maisha ya kujipa raha zaidi ndiyo maana anabadili mfumo wa maisha kutoka msichana binti mdogo hadi binti mtu mzima.

Kweli kabisa Tamatheo, umenena ukweli mtupu, ulicho kinena hiki hebu fatilia posts za watu kwenye huu uta conclude kuwa 20s wanamatamanio makubwa ya kimaisha yaani wanasaka mambo makubwa makubwa, ni vigumu sana kuona mvulana mwenye 20s ana mambo makubwa katika jamii, ila kwa mwanamke ni kawaida unakuta mwanamke ana 20s ana mambo makubwa sana
 
Last edited by a moderator:
Group+of+Older+Diverse+Women.jpg
 
Hahaha hapo kwen ufundi naweza kukuhakikishia walioko kwen 30s ndo wenyewe. Hapana chezeya mwenye lengo la kupata utamu...

Dogo kumbe bado mweupe eeh?
Hahahahaaaa
Inabidi niende training aisee lol
Otherwise nihamie zangu Airtel
 
-Hata mizinga hawapigi ovyo ovyo mpwa
-Hawezi beba mashosti kwenye appointment
-Anaelewa maisha yalivyo ukimwambia huna kitu mwelewa
-Hawana makuu, wavumilivu
-Wanajua kuthamini/kumjali mwenza.

Mkuu Fidel80 asilimia kubwa kati ya hao wameshazaa aidha ndani ya ndoa na kuikimbia ama kwenye mahusiano ya muda mrefu ambayo ahajafikia ndoa.
Pia ndio waanzilishi wakubwa wa vikundi vya akina dada wajasiriamali na wanakuwa na business talk kila weekend na hukaa wenyewe huku wakisubiria appointment na watu wao.
Wengine kati ya hao wameshakataa tamaa ya kuolewa au kupata wenza wa kudumu..
 
tunatafutwa wakati hao wa 30's xstics zao zinatukimbiza
nani anatafta mtu ukutoka nae out afu anakuletea a basketball team
may be you....

Unafikilia sababu kubwa haswa ni nini kupeleka timu ya basketball kwa mpenzi wako? Je nikuwalingishia wenzio? Je nikumkomoa? Je nikupima uwezo wake mfukoni? Je unataka awatongoze na mashosti wako?
 
Unafikilia sababu kubwa haswa ni nini kupeleka timu ya basketball kwa mpenzi wako? Je nikuwalingishia wenzio? Je nikumkomoa? Je nikupima uwezo wake mfukoni? Je unataka awatongoze na mashosti wako?

Mpwa Fidel80 apo ujue akili zao bado hazijakomaa.kama.ulivosema wana mawazo ya "chuna buzi" na kudhani watakuwa kwenyr hiyo 20s forever
 
Last edited by a moderator:
Heee Erickb52.. kwani yeye ni dawa mpaka aeksipaya..! Shindwa na ulegee mwenyewe naumona katineja changu.. Yaani kama nambaka vle alivyokuwa mtoto..!
Hahahahaaa kwa mlivyo lol unambaka kweli maana hata kiunoni hakufikii lol
Ila baada ya miaka 130 ijayo atakuwa kama wewe
 
Well written kaka Kaiza, na mimi natia timu:

  1. Wana Confidence la kufa mtu na ni waelewa sana
  2. Na wanakata issue za ukweli sambamba na wewe.
  3. Ni marafiki genuine na washauri wa maana
  4. Hwalii lii kutaka unnecessary sympathy
  5. Wanajiheshimu

Shida yao ndogo wengine nyama uzembe kibao na vitambi visivyo na tija!

Hiyo ya mwisho, baada ya namba tano, mmh.... Mbavu sina mkuu!
 
Last edited by a moderator:
hiv nikikupa 100% ntakuwa nimekupendelea au nayo itapunguzwa kama walivopunguziwa shule za seminari!
 
Back
Top Bottom