heshima ya mwanaume ni kutengeneza boma lake na kulipa mipaka.
hapa ni kwa fulani.huyu ni mtoto wa.fulani,yule ni mke wa fulani,wale ni ng'ombe wa fulani.wenzenu walikuwa na identity zao!nyie mpo mpo tu!kitu pekee mnachomiliki kwa hakika ni dhakar zenu ambazo pia hamjui kuzitumia!
Agano la kale limepita bwana.... hapa ni usawa tuuu! Mabibi zetu waliteswa na mababu, leo na ninyi vilembwe mnataka kuendelea kututesa... mshindwe! hapa ni kukaba hadi penati. Mtaongea yooote uzi ni ule uleeeee
Wanawake wapigania usawa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
kuweni tu makini na huko mbele, maana siku hizi mambo yote NYUMA, si unaona tunawasifia wanawaka wa miaka ileeee ya nyuma?
Kweli kabisa "Wanawake walikuwa zamani, ila siku hizi wote ni wanaume"
Enzi zile mwanamke amepigwa na mumewe analia, akisikia tu hodii hodiii haraka sana anajifuta machozi na kuanza kucheka, wa siku hizi mbona ataenda kulilia kwa jirani ili dunia nzima ijue kapigwa au huyooo mahakamani. Hebu sasa tutumie uzi huu kutaja matendo ya wamama wa zamani ya kishujaa kama hili nililolitaja ili hawa watoto wa siku hizi kina miss neddy, DEMBA, mama la mama, miss chagga na wengine wajifunze.
kazania kusema hoyeee wakati wenzako wapo hoiiiiii.
nijuavyo hata iweje ni KOSA TAKATIFU mume kupiga mke. hapa si story tu, watu wanaeleza matamanio ya moyoni. ni mambo yana mizizi na mashina marefu akilini. inahitaji kung'olewa.
ingekuwa mnapiga story na kukosoa hizi tamaduni sawa. lakini mnakosoa wanawake kujikomboa na upuuzi huu...
mwanamke wako ana hasara.
ha ha haaaa akili mukichwa ..... unakumbuka Lile azimio la Bejing - china? wajanja walipalilia ndoa ndoa zao... wale wa kuiga iga hadi leo wanaishi single