Mkuu bado somo la uraia linatakiwa sana,niliona kwenye skonga mwanafunzi mmoja aliulizwa rais wa Tanganyika ni nani akasema ALhassan Mwinyi,mwanza ni Tanzania au ni Uganda mpaka hawa vijana wamnatii Mseveni?
Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven
Duh.. agizo la mu7 mwanza! Kwani shirikisho la Afrika Mashariki tayari?Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven
Duh.. agizo la mu7 mwanza! Kwani shirikisho la Afrika Mashariki tayari?
kumbe na wewe ni mchana nguo za wanawake? pole sana, wapelekeni kwenye vyombo husika, hamna mamlaka ya kujichukulia sharia mkononi
Hata hivyo M7 ni jembe hata akigombea kula yangu anapata.
Hakuna sheria ndo maana wanazichana.
Shelia ipo wakifatiliwa watashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha huyo dada.ila na si wanawake tumezidi tunatakiwa tujilekebishe.
Namaanisha sheria ya kuzuia uvaaji wa nusu uchi.
weka picha mkuu!Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven
ina maana mu 7 amri zake zinatekelezwa hadi mwanza?!
Sent from my blackberry 9220 using jamiiforums
Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven
Hahahahaha mbona mi sijavuliwa wamenigwayaaa nini,nilikua maeneo hayo
Hata hivyo M7 ni jembe hata akigombea kula yangu anapata.
M7 hawezi kuhitaji kula yako, labda ungesema Kura na hapo ni lazima uwe mganda ndio itakuwa na maana!!!πound:πound:
Sio suala la ku firce vitu bali huo unaitwa USTAARABU!
Na kuiga kitu kizuri na chenye kuleta heshima ktk jamii SIO VIBAYA!
as matter fact NI VIZURI SANA!
Kama suala la kuiga ni baya na huo unaouita uafrika ni mali basi huko nyuma Babu alikuwa anajisaidia mtoni! Na kuchambia majani!
Inakuwaje leo we ujenge choo!?
Na vilevile babu yako alikuwa na imani kuwa wanawake wakila mayai na maini au ile minofu mizuri wanaweza kufunga uzazi!
Sasa inakuwaje leo dada zako wanakandamiza kila kitu!?
Acha kutetea uchafu unaochangia kuisambaratisha jamii!
Au iko siku huo uchafu utakuja kuathiri familia yako.
Acheni wavae tuone mautamu nyie wavimba macho VP..
Ama nyie cyo malijali hamuoni utamu wake hayo mambo???
Hao ni watu wazima na wameamua kuvaa hivo waacheni...msitake wavae kilocal local hayo ndo maua ya mjini...
Sifa ya jiji mojawapo ni maujanja ya madada kupigilia mini na pedo za ukweli
Tatizo lenu urugaruga unawasumbua na wivu coz mnaishia kuwaona ila kuwapata hamuwez so mnaona bora muwaharibie..
Huo siyo mpango acheni watoke kisasa kama unakwazika kimpango wako lala ndani
Dada zangu jiachieni tuu ila mkae mkijua UKIMWI UPO NA UNAUA