Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya Taqafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa.
Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua ni wanafunzi wa vyuo hususani st. Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven.