Wanawake wa siku hizi mna bahati

Wanawake wa siku hizi mna bahati

Wazamani walijariwa uvumilivu bwana, afu kwanza ukirudi kwenu unatimuliwa urudi kwa mumeo hakuna anayekupokea.

Siku hizi mwanamke akipigwa kidogo anarudi kwao, mzazi anampokea kwa mikono miwili ndio kwanza anasema " afadhari ulivyoondoka mana angekuua"
 
uvumilivu wapi hawakuwa na jinsi tu, wazazi nao conservative ukirudi unatimuliwa hata husikilizwi, wengine walikuwa wanakimbia wanapotea yakiwafika kooni

now watoto digital na wazazi digital mambo mswano tu, ukipiga shavu la kushoto nakutwisha ngumi ya kulia!!!
 
Ukisoma hizi comment utagundua kwa nini mama aliguna na kusikitika.
 
...ilisema hivi, "hujambo wangu nimekimisso saaaaaaana lots of love, hugs and kisses."

Hiyo SMS ilikuwa inasemaje labda? Kuna text nyingine Ni heart attack Kabisa
 
Last edited by a moderator:
vyote vyote. wapo walioletewa wake wenza na wengine mahawala tu.

= mahawara

Hapo huyo mwanamke iwe leo iwe zamani alikuwa ni msukule.

Mke mwenza kwa Kiislam imo hiyo, tena kwa maridhiano na si kwa ubabe akuletee tu nyumbani kwako, hapatatosha.

Hiyo ndiyo taabu ya dhanna ya kuolewa na kuoa.

Nashukuru kwetu hatuolewi. Tunaowana.
 
Wazamani walijariwa uvumilivu bwana, afu kwanza ukirudi kwenu unatimuliwa urudi kwa mumeo hakuna anayekupokea.

Siku hizi mwanamke akipigwa kidogo anarudi kwao, mzazi anampokea kwa mikono miwili ndio kwanza anasema " afadhari ulivyoondoka mana angekuua"

hata wewe unaonekana siyo mvumilivu
 
Kiswahil bado kigumu kwangu! Bora aliyeandika 'hatukandi mbwa makalio' kwa mbali sina uhakika kama nimemuelewa ipasavyo kuwa 'hawatoi tigo kubembeleza wapendwe/ndoa'!!

Kumbe!
 
"We, we don't have to worry, 'bout nothing
cause we got the fire, and we're burning a new hell of something
they, they gonna see us from outer space, outer space
light it up, like we're the stars of the human race, human race"

When the light started out, they don't know what they heard
strike the match, play it loud, giving love to the world
we'll be raising our hands, shining up to the the sky
cause we got the fire, fire, fire
yeah we got the fire, fire fire

Mkuu BAK hiyo text yako Mbona hata me ningeijibu tena kiroho safi tu, inashtua moyo kidogo tu hahaha. Ila namba ningeinote for future use
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Sure, halafu wanalalamika hawaolewi.

Hii ni party ya matokeo ya kula vyips, zamani kulikuwa na viazi tu heshima ilikuwepo. Pia Zamani kulikuwa na mihogo tu, sikuiz wanasema chips dume. Kuna kitu haapo
 
Back
Top Bottom