Wanawake wa siku hizi mna bahati

Wanawake wa siku hizi mna bahati

Ukikuta mkeo anapigwa bao moja na houseboy vp utakausha.

mkuu umepindua hoja, hayo ulosema yalikuwepo enzi za mababu? hapa tunaongelea utaratibu wa enzi hizo. Hili lako jipya na halikuwepo.
 
JEKI anataka tuvumilie mpaka utiwe vidole machoni uwe kipofu ha ha ha ha ha ha
Ujue sometimes Mtu anakutana na maudhi kibao kwenye ndoa, but Mtu anavumilia tu. Siku inaingia message ya Kejeli kidogo tu, but itakumbushia maudhi yote na Mtu anaondoka kiutani tu. uvumilivu una kikomo Jamani
 
sasa ukiondoka ndo umesaidia nini?
 
ndo enzi hizo walifanya hivyo? hapa tunaongelea ya enzi hizo, hayo yenu yalikuwepo?

ni kweli enzi hizo mke anamshikia mume mguu iingie vizuri ... ha ha ha usitudanganye huko
 
unayajua yanayotokea baada ya uvumilivu kufika mwisho? unadhani umetatua kumbe ndo umeharibu zaidi.

naamini wengi huwa wamevumilia ushuzi mwingi mwishowe unaweza anaza kutoa the same ushuzi mtu anaona kabala ajafikia huko bora kujiondoa
 
ni kweli enzi hizo mke anamshikia mume mguu iingie vizuri ... ha ha ha usitudanganye huko

kumbe hakuna unachokijua. Enzi hizo mwanamke hawezi hata kymsogelea tu mwanaume asiye mmewe. Itakuwa kukutwa na houseboy, si utakatwa kichwa.
 
mtazeekea kwa baba zenu nani awaoe wanawake wabishi hatari ...uvumilivu hamna..yaani unanikuta napiga goli moja tu house girl unanuna? mxxxx

Je ukimkuta yeye anapigwa hako ka goli kamoko na shamba boy utachekelea na kumuongeza mshahara
 
kumbe hakuna unachokijua. Enzi hizo mwanamke hawezi hata kymsogelea tu mwanaume asiye mmewe. Itakuwa kukutwa na houseboy, si utakatwa kichwa.

wewe acha kujidanganya wamepiga nje sana sema kisiri sana
 
Back
Top Bottom