Wanawake wa siku hizi mna bahati

Wanawake wa siku hizi mna bahati

Enh uniletee mwenzangu ndani bado nipo tu angekua mke wa halali wala siondoki kimada from no where nibaki eish bado
umeeona ee bora afe nao bibi ujinga huo uniletee kwangu upuuzi kama sijakukata uume jaribu uone nyoooo
 
Wiki iliyopita nikiangalia kipindi cha Television na mama yangu, Mtangazaji akawa anasimilia kisa cha dada mmoja kumwacha mume wake na kurudi kwao kwa kisa cha kukuta meseji ya mapenzi kwenye Simu ya mumewe.

Haya ndio maneno alosema mama, kwanza aliguna kwa masikitiko makubwa kisha akasema meseji tu! huku akishangaa, akaongeza enzi zetu tulikuwa tunaletewa ndani hata wanawake wanne na hatukuthubutu kurudi, wa siku hizi wana bahati kubwa.

Samahani sana, naomba fafanua kidogo, wanaletewa wake wenza au mahawara tu?
 
zile zilikuwa enzi za ujamaa siku hizi ni enzi za ubepari

hujui ubepari umeshindwa? kumbuka hotuba za wakubwa baada ya anguko la uchumi wa warstreet. Sarkoz aliuita ubepari ni upumbavu hawawezi wakaiacha hatima ya nchi kwa mabepari.
 
mmh wazazi wetu wa zamani wamevumilia mengi.....

hongera zao....
 
Mwanamke kutoolewa si ishu,ishu ni kukosa mtu wa kukukaza manake hata hormones hazitabalance.tukubali tukatae zama hizi heshima pesa,wenzangu na mie heshina kupanga mabuzi.huyu wa saloon,huyu wa nguo,huyo wa gadgets mwingine wa visafari vidogo vidogo vya bata.msije mkahisi achana na kuwaza kwamba wanawake sa hizi wamelala,panga upangiwe.una wawili ye ana watatu.sadly enough waliooa ndo wamepanga mno na wanaliwa na vitoto vidogooo ambavyo bado jumanne anansimama na kuvimba.sio madingi wakujoboost na viagra
 
Back
Top Bottom