Wanawake wa siku hizi mna bahati

Wanawake wa siku hizi mna bahati

mkuu umepindua hoja, hayo ulosema yalikuwepo enzi za mababu? hapa tunaongelea utaratibu wa enzi hizo. Hili lako jipya na halikuwepo.

Yalikuwepo muulize babu yako! Ndo maana kulikua na misemo kama "kitanda hakizai haramu"
Tena ilikua mwanaume akirudi home haingii moja kwa moja ndani lazima azuge zuge nje na kujikohoza ili kama mwizi yupo akimbie!
So usiogope kijana! Habari ndiyo hiyo!
 
Kiswahil bado kigumu kwangu! Bora aliyeandika 'hatukandi mbwa makalio' kwa mbali sina uhakika kama nimemuelewa ipasavyo kuwa 'hawatoi tigo kubembeleza wapendwe/ndoa'!!

Kwa hiyo unaona ni sifa na jambo la kujivunia kutokujua Kiswahili?
Kweli wewe una IQ chini 70 (Binadamu wa kawaida mwenye uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo ana IQ kuanzia 90!
IQ ya chini ya 70 ni sawa na uwezo wa kufikiri wa Mtoto/Kijana wa Miaka 11 mwenye akili timamamu!
 
Sure, halafu wanalalamika hawaolewi.

Naaani kalalamika hatuolewi kama siyo ninyi ndiyo mnaolalamika kwanini hatuolewi!
Wenyewe tupo poa tuna visions zetu na namna yetu ya kupanga destinies zetu, ajabu wenzetu mko biz na kudraw lines za umri wa kuolewa!
 
Hahahahahah lol!!!! Haya banaa! 🙂🙂

"We, we don't have to worry, 'bout nothing
cause we got the fire, and we're burning a new hell of something
they, they gonna see us from outer space, outer space
light it up, like we're the stars of the human race, human race"

When the light started out, they don't know what they heard
strike the match, play it loud, giving love to the world
we'll be raising our hands, shining up to the the sky
cause we got the fire, fire, fire
yeah we got the fire, fire fire

Mkuu BAK hiyo text yako Mbona hata me ningeijibu tena kiroho safi tu, inashtua moyo kidogo tu hahaha. Ila namba ningeinote for future use
 
Lol!!! Chezeya kupenda na kupendwa weye!!! Ndani ya nyumba hakuliki wala hakulaliki, wengine pressure hupanda huyu akaona isiwe tabu ngoja nijirudie kwetu lol!!!! Wacha wengine wategeshe ili mkichepuka tu basi mnanasana kwi kwi kwi kwi

Weee usifanye utani na kulinda Mali yangu hahahahahaha
 
Lol!!! Chezeya kupenda na kupendwa weye!!! Ndani ya nyumba hakuliki wala hakulaliki, wengine pressure hupanda huyu akaona isiwe tabu ngoja nijirudie kwetu lol!!!! Wacha wengine wategeshe ili mkichepuka tu basi mnanasana kwi kwi kwi kwi
Ujue binadamu tuna asili ya ubinafsi, vinavyoupendeza moyo wangu, natamani nivimiliki Mimi tu. Sijui Mtu unajisikiaje kujua Kuwa partner wako Ana Mtu anayempa furaha, tena inawezekana zaidi ya anavyokufurahisha wewe. au kujua tu kuna Mtu unayeshare naye upendo wa mwenzi wako mmh
ila ya kumtegeshea mume ili wanasane sijaifanya kwa Kweli hahaha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wivu kwenye penzi muhimu ili usizidi mipaka na kuanza kuwa kero hata kutishia penzi. Hongera kwa hilo la kutokuwa tayari kutegesha kunasana. Sijasikia kama wives nao wanaweza kutumia huu uganga wa jadi wa michepuko kunasana ni husbands tu ndio anaweza kutumia hii technology ya kikwetu mara tu akina mama watakapoweza nao kutumia hii technology mbona itakuwa shida MUJINI!!! Lol!!!

Hahahahahaha wamama nilisikiaga wao wanaekewa mtego, ukienda tu kuchepuka basi bibi anapotea kimazingara lol. Kwa Kweli Ni bora ya mtego Huu coz utamzuia Mtu asichepuke, kuliko kuamua cha Mtu achepuke Kabisa afu ndo umfedheheshe na kunasiana, Ni fedhedha Kwenu wote
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli kabisa hii ya kunasana aibu si kwa mume tu, Mke pia anaaibika. Na wanoko wanaweza kuiweka aibu hiyo kule utube.

Hahahahahaha wamama nilisikiaga wao wanaekewa mtego, ukienda tu kuchepuka basi bibi anapotea kimazingara lol. Kwa Kweli Ni bora ya mtego Huu coz utamzuia Mtu asichepuke, kuliko kuamua cha Mtu achepuke Kabisa afu ndo umfedheheshe na kunasiana, Ni fedhedha Kwenu wote
 
kurudi kwao sio suluhisho.. angejaribu njia nyingine.. kwanza
 
Back
Top Bottom