Wanawake wa siku hizi mna bahati

Wanawake wa siku hizi mna bahati

uvumilivu unamwisho
Kabisa my. Uvumilivu Ni lazima kwenye ndoa as hauishi na malaika, so ups and downs zitakuwepo tu. but inapofika hata Unaona Kabisa hiyo ndoa itakuwa kaburi lako, Aisee bora uishi tu peke yako. Utakufa kabla ya wakati afu watoto wako wateseke bure Huku mwenzako anatanua tu kiruu
 
eti JEKI anatajka mwanamke ale shida mwanaume ale raha,,, na bado niwahi kwenda kula vumbi mweeee ,... OTE MAE NGALEWA KAPISA APAAA MBAKA CHA.......
 
Last edited by a moderator:
mtazeekea kwa baba zenu nani awaoe wanawake wabishi hatari ...uvumilivu hamna..yaani unanikuta napiga goli moja tu house girl unanuna? mxxxx

Hahahaha kazi kwelikweli
 
Hahahahahaha naona kwa msisitizo umeamua kuongea na kichagga Kabisa. Mungu azihurumie tu hizi ndoa zetu za siku hizi

Heaven dropped, ushaolewa? you sound being a behaved and well-mannered lady!
 
mtazeekea kwa baba zenu nani awaoe wanawake wabishi hatari ...uvumilivu hamna..yaani unanikuta napiga goli moja tu house girl unanuna? mxxxx

Last edited by a moderator:
Ameshasema enzi hizo na sio kwamba walifurahia manyanyaso hayo sema tu they had no any other alternative

Just why they have struggled to educate as ili tusiwe dependants 100%

Men are always selfish yeye akifanya madudu its ok ila yeye amfumanie mwanamke wake sasa thubutu atapata kipondo na kwao atarudisha usiku huohuo

Yes she is right sms tu wacha arudi kwao
 
wazazi wetu ndoa zao ndo zilikua ajira zao ndo maana walikua wananyanyaswa
 
too much of everything is harmfull, so hata uvumilivu una mwisho, hapo ni zaidi ya msg lazima,
sasa kila cku nizikute nivumilie tu, hizi simu hizi ndio maana bora kila mtu asishike ya mwenzie miss chagga Eli79
 
Last edited by a moderator:
wazazi wetu ndoa zao ndo zilikua ajira zao ndo maana walikua wananyanyaswa

na ii shida bado ipo sana maeneo ya vijijini Mwanaume ni Mungu wa pili kwa Mke kiasi kufanya ndoa isiwe na changamoto za msingi na hata kukosa maendeleo ktk level ya familia.
 
na ii shida bado ipo sana maeneo ya vijijini Mwanaume ni Mungu wa pili kwa Mke kiasi kufanya ndoa isiwe na changamoto za msingi na hata kukosa maendeleo ktk level ya familia.

kweli ndo maana wanakatwa hadi masikio hawasemi wanabaki kuogopa aibu eti wameachika
 
Back
Top Bottom